Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
- Thread starter
-
- #21
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Ni kweli Tundu hajui kushika bunduki, kuteka wala kupoteza watu, na hata kubambikia wengine kesi.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Na mwaka huu lazima uruke kichaa kwa sababu ya Lissu maana anavyokuchanganya inaelekea hata kula huli. Jiandae tu kumkabidhi ikulu hapo October 2020. Amini nakwambia huyu ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania coming October 2020
Mtu huru na mawazo huruLissu anakuhusu nini?
Huoni hoja za Lissu kwenye uchaguzi huu??? Hata mwanafunzi wa form four tu Mwenye uelewa hawezi kukosa hoja za kupambana na JPM mwaka huu.Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
kwa hiyo anakuhusu wewe pekee , kikura chako.kimoja unaanza kuwapunguza wengine, eti lisu anakuhusu nini?, haya akuhusu wewe furahi lofa@Lissu anakuhusu nini?
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Haiwezekani mtu aogopwe na Mkulu halafu mseme hafai kugombea tunapiga kwenye maumivu hapo hapo, Lissu for president.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Lissu anawakosesha sana usingizi
Mamlaka zipi? Kwahiyo Lissu kupigwa risasi 16 sio issue ila Mwenyekiti wa CCM kupokea jogoo huko barabarani kwenu ni issue.Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.
Ukweli unauma sana hata hvy CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi ww unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Kwahiyo kupita bila kupingwa ni heshima? Ulitaka CHADEMA wachapishe form moja kama CCM? Ndugu jaribu basi kuficha upumbavu wako hata kidooooogo. Nina uhakika angepitishwa bila kupingwa ungekuwa wakwanza kuleta uzi wa kupinga hilo kwa vigezo vyote. Tulia.
Si kupokea jogoo tu na kumtafutia bibi ubavu wa pili.Mamlaka zipi? Kwahiyo Lissu kupigwa risasi 16 sio issue ila Mwenyekiti wa CCM kupokea jogoo huko barabarani kwwnu ni issue.
Ukweli unauma sana hata hivyo CCM ya Leo hata akigombea yeyote nakuhakikishia CCM itajipunguzia ushindi wewe unadhani Tundu Lisu hata apitishwe atakuwa na hoja gani zaidi ya kusema alipigwa risasi 16. Hili nalo ni kosa jingine alipaswa kutoongelea kabisa shambulio lake aziachie mamlaka ndizo zenye uwezo wa kujua hayo yote.Mamlaka zipi? Kwahiyo Lissu kupigwa risasi 16 sio issue ila Mwenyekiti wa CCM kupokea jogoo huko barabarani kwwnu ni issue.
Tena mama yake si ni mgonjwa? Halafu anawaza kumtafutia mume. Jamani Mungu anakazi sanaSi kupokea jogoo tu na kumtafutia bibi ubavu wa pili.
Magufuli anapenda utani lakini hana lugha nzuri ya kufisha ujumbe sasa utani wake unamgharimu.Tena mama yake si ni mgonjwa? Halafu anawaza kumtafutia mume. Jamani Mungu anakazi sana