Uchaguzi 2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

Subiri uone nondo zake, mtoto Wa singida mashariki. Jpm kwa hoja hamwezi lissu
 
Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa nafasi ya Ubunge.
Hili liko wazi kabisa. Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No. 13 ya mwaka 1995. Ushahidi wa kosa hilo upo wazi. Mawakili wa Tundu Lissu walifungua kesi mahakama kuu kujaribu kupinga uamuzi huo wakashindwa. Hivyo Tundu Lissu hawezi kugombea ubunge au urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo kwa mjibu wa sheria hiyo.

Sasa sijui ni kipi chadema wanakitaka kwa kumpendekeza Tundu awe mgombea wao? Wanajua atakatwa. Jee wanataka wapate kick ya kisiasa pale NEC itakapomkata na washirika wao wa DW na BBC kiswahili kutangazia dunia kwamba kaonewa?
 
Halafu kama keshasahaulika vile?! Hata waseme nini he's not a presidential material. Ila tuwaachie wao waone utamu wa mpilipili na maua yake.
Magu ndio presidential material, mzee wa kudeal na vyoo. You cant even delegate tasks
 
Hongera mtoa mada kwa kumpa maono yako sahihi muheshimiwa Lissu.
 
Kwanza CCM hamjui hoja kazi yenu ni kugonga meza tu, unawezaje kujua Lisu ana hoja su hana.

Hata hoja ya kupigwa risasi 16 kwenye eneo lenye ulinzi mkali na CCTV cameras bila culprits kujulikana mpaka leo inatosha kumuondoa mgombea wa urais wa CCM.
 
Sasa mbona mlitoa fomu moja tu kama yeyote anafaa katika CCM
 
Grow up please, this is JF not Facebook
 
Tuache tumchague Lissu, mbona unatupa mbinu wakati wewe ni CCM? Tuache tuangukie pua ili ufurahi.
 
 
LISSU KIBOKO YA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…