Huu ndio mwandiko wa Tundu Lissu?
Bila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vileKamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Mkishindwa hoja mnakimbilia matusi na kejeli ndio zenu tunawajua wafuasi wa TEC na chademaBila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vile
Sikulaumu
Tec ndo nini mkuuMkishindwa hoja mnakimbilia matusi na kejeli ndio zenu tunawajua wafuasi wa TEC na chadema
Chama kipya cha siasa nchini TanganyikaTec ndo nini mkuu
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji.
Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
View attachment 3503554
Kwa sasa waliouwawa sio chadema ni watanganyika walio kandamizwa miaka mingi ndo wameanza kudai haki yao kwa nguvu ..Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATAMashehe wa BAKWATA ndio vinara wa siasa Tanzania hii, kila kukicha siasa za CCM.. Je hawa TEC wangekua wanaipamba serikali mngesema wanaingilia siasa..Sema TEC wanagusa maslahi ya mafisadi , watekaji , wahujumu uchumi, wezi wa kura ndo maana mnawaona wabaya.Watanzania kwa sasa wana akili sana , Tatizo la TEC ni kukosoa maovu ya serikali ndo maana wanaonekana wabaya ..
🤣🤣🤣🤣Hapana, wa kwako
Maandamano kaanzisha yeye? SeriouslyKamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kuwa na akili hata kidogo basi kwa faida yako mwenyewe. Maandamano ya tarehe 29 Oktoba yaliitishwa vipi ambaye anashikiliwa Ukonga kwa zengwe tangu mwezi wa 4?Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo