PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kila taasisi Ina matatizo yake na hayaishi Leo Wala kesho

Lakini wameamua kudili na matatizo ya Taifa kwanza maana taifa ni kubwa kuliko taasisi yoyote

Jitahidi kutumia akili
Kwani matatizo ya taifa ambayo ni ya kisiasa yanaisha? Kwahiyo vyama vya siasa viache siasa vihubiri ujio wa yesu

Kazi ya vyama vya siasa ni nini?
 
NRNE ililenga kabla ya uchaguzi, sio wakati wa uchaguzi
Hata hivyo nguvu yake ilipungua mno alifunguliwa kesi na chama kupigwa ban project ikafa
Hiki kilichoibuka katikati sio NRNE, ni kitu kingine
Kwahiyo mwenyekiti kusema watakinukisha alilenga kukinukisha kabla au wakati wa uchaguzi?
 
Fikra inaishi kufa kwa imamu sio mwisho wa ibada labda uamue kutokuelewa
fikra huwa inakufa undercertain condition with time. Kuna factors zita determine ife au isife
Si fikra zote zinadumu
 
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa
20251118_080218.png
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
IGNORED AND BLOCKED SUCCESSFULLY
 
Ukweli mchungu

Vijana ambao mko mstari wa mbele hadi kufikia kuhatarisha maisha yenu kwenye maandamano

Baada ya nchi kukombolewa kama mnavyodai upinzani wakichukua nchi watoto wa Lissu walioko Marekani na Lema waliopo Canada ndo watakula teuzi 😅

Ila si hasa
 
fikra huwa inakufa undercertain condition with time. Kuna factors zita determine ife au isife
Si fikra zote zinadumu
Wanachadema wanasema chadema ni Imani na unajua Imani inavyofanya kazi

Uhalisia ni kuwa lissu kawapeleka wafuasi wake machinjioni na wakachinjwa kuliko enzi za mbowe
 
Wanachadema wanasema chadema ni Imani na unajua Imani inavyofanya kazi

Uhalisia ni kuwa lissu kawapeleka wafuasi wake machinjioni na wakachinjwa kuliko enzi za mbowe
Mboa kwenye maandamano sikuona chadema, sikuona viongozi, bendera ya chama? Or mwanachama?

Wao si walipigwa marufuku kabisa kuendelea na shughuli zozote za chama?
 
Ukweli mchungu

Vijana ambao mko mstari wa mbele hadi kufikia kuhatarisha maisha yenu kwenye maandamano

Baada ya nchi kukombolewa kama mnavyodai upinzani wakichukua nchi watoto wa Lissu walioko Marekani na Lema waliopo Canada ndo watakula teuzi 😅

Ila si hasa
Wewe kalale Wanaume tunaingia kazini .TUKUTANE TAREHE 09.12.2025
 
Mboa kwenye maandamano sikuona chadema, sikuona viongozi, bendera ya chama? Or mwanachama?

Wao si walipigwa marufuku kabisa kuendelea na shughuli zozote za chama?
Mbinu tu maana mbowe alienda na bendera ya chama kwenye maandamano akapewa kesi ya ugaidi najaribu kukuelewesha hata kama unaelewa
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Mimi ni Mkatoliki. Nijulishe kuna matatizo gani kanisani kwangu ambayo siyajui.
 
Mimi ni Mkatoliki. Nijulishe kuna matatizo gani kanisani kwangu ambayo siyajui.
1. Kanisa limekuwa biashara

2. Waumini na Padre wanafanya uasherati ndani ya kanisa

3. Padre wanalawiti watoto

4. Waumini wanavyaa vimini vilivyopitiliza makanisani ibada hazifanyiki kwa weledi zaid ya kuangalia chupi tu

5. Padre wanafundisha na kutetea ushoga na usagaji badala ya kuhubiri neno la mungu

Hayo ni baadhi tu yapo mengi sana lakini kucha kutwa siasa za mapinduzi
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA

Pole sana kwa kuwa mpumb.avu, hujui hata maana ya siasa, wala hujui kazi ya watumishi wa Mungu.

Ulivyokosa akili unaamini kuwa uovu ni siasa. Watumishi wa Mungu wa kweli, siku zote, jukumu lao la kwanza ni kukemea uovu, na kuwataka waovu watubu, wamrudie Mungu, watende hami, kwa sababu Mungu tunayemwabudu ni MUNGU WA HAKI. Dhuluma ni uovu, na uovu ni dhambi. Dhambi itaendelea kuwa ni dhambi nila ya kujali kama anayetenda ni rais, ombaomba, mkulima au mfanyakazi, mwanaume au mwanamke, ana dini au hana dini.

Hongereni sana watumishi wa Mungu mliosimama imara kukemea dhambi ya dhuluma, dhambi ya mauaji, dhambi za utekaji na mauaji. Mungu wa kweli azidi kuwajalieni ujasiri wa kusimama katika kweli yake dhidi ya watumishi wa shetani waliosimama kuyatetea matendo ya shetani. Lakini lililo wazi, shetani hawezi kumshinda Mungu.
 
Back
Top Bottom