Hata mimi nimejuliza sana kuhusu hayo maridhiano kuwa yatakuwa kati ya nani na nani !Sasa hawa wanaotaka maridhiano je unaridhiana na nani? kwa ajili ya nini? au ndo kuunda tume za kupeana ulaji alafu baadae kimya hamna lolote.
Dunia imebadilika, ufahamu na uelewa wa watu umebadilika la msingi ni kuachana na siasa za hadaa na ujanjaujanja na kutekeleza yale wananchi wanayoyataka.