PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katiba haiheshimiki na ndio maana Samia anaita ni kijitabu tu.
Ila kumbe ipo na umesema ndio inatoa huo Uhuru kwa chadema sasa Samia anahusikaje hapo na je kabla ya Samia Uhuru kwa chadema ulikuwepo? Au Samia kabadili katiba?
 
Hiyo ni kazi ya wananchi wote sio ya vyama vya siasa. Kazi ya vyama vya siasa ni kushawishi watu wa wajiunge na vyama vyao. Ila uchaguzi ni jambo la wananchi wote. Una hoja nyingine kwa ufafanuzi zaidi?
Kazi ya TEC nayo ni kutoa matamko ya kisiasa eti?

Na je hivyo vyama vinatumia mbinu gani kushawishi wananchi wajiunge nao?

1. Sio kuwa na sera kinzani na chama kilicho madarakani

2. Sio kwa kutoa matamko na kupaza sauti dhidi ya ukiukwaji wa sheria za uchaguzi na maswala ya kisiasa

Sasa inakuwaje mwananchi ambaye anahitaji kushawishiwa na chama cha siasa yeye ndio anashawishi (TEC) kucha kutwa kutoa matamko na kupaza sauti dhidi ya tume na uchaguzi kana kwamba wao waligombea kumbe ni taasisi tu ya dini ambayo kazi yake ni mambo ya kiroho na mbinguni

Tusitumie dini kama vyama vya siasa kwasababu ndani ya dini kuna waumini wenye mawazo tofauti na viongozi wao kuhusu siasa lakini kidini/kiroho hawaruhusiwi kuwapinga
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Siasa ndio inayoamua mustakabali wa maisha ya waumini wao hapa duniani almost kwenye kila eneo. Kwa kifupi hao TEC mnaojaribu kuwaangushia jumba bovu wakisema wawasikilize ninyi na kuamua kukaa kimya na kuyafumbia macho maovu mnayowafanyia waumini wao na watanzania kwa ujumla watakuwa na wakati mgumu sana kueleweka ni Mungu gani huyo wanayemuhubiri kwenye hizo Dominika zao!

JAPO KISHINGO UPANDE,CHAGUENI KUSIMAMA UPANDE WA HAKI INGAWA MMECHELEWA SANA. IVUENI NA KUIPUUZA AIBU NA HOFU YA KUPOTEZA HIVYO MNAVYODHANI NI VYA THAMANI KULIKO UHAI WA WATU ILI MSIENDELEE KUVITIA DOA(LAANA) VIZAZI VYENU.
MSIPUMBAZWE NA RAHA YA DHULUMA MNAZOWAFANYIA WATU. RAHA HIYO NI KAMA MVUKE AMBAO HUONEKANA KWA MUDA KISHA HUTOWEKA MILELE.

KUNA MAMBO USIPOYAKUBALI UKIWA HAI KWA SABABU YA KUTAKA KULIFURAHISHA GENGE FULANI DHALIMU BASI JIANDAE KUYAKIRI UKIWA PEKE YAKO KABURINI,LAKINI HUWEZI KUYAKWEPA!

KAMA MLITAKA MUENDELEE KUWATAWALA WATANZANIA KIMABAVU BILA RIDHAA YAO MLICHOTAKIWA KUFANYA NI KUIFANYA TANZANIA IWE KISIWA KILICHOJITENGA NA DUNIA YOTE. MNGEAMUA TANGU AWALI KABISA KUTOSAINI MIKATABA YOYOTE YA KIMATAIFA IKIWEMO YA KULINDA NA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU ILI MUWE HURU HATA KUZILA NYAMA ZA WATANZANIA BILA KUINGILIWA NA YEYOTE,VINGINEVYO,NYAKATI HAZIPO UPANDE WENU TENA.

NB: SITAMANI KUANZA KUONA NCHI HII WATU WAKIANZA KUWINDANA KAMA DIGIDIGI ILI KULIPIZANA KISASI(INGAWA NI UKWELI USIOPINGIKA KWAMBA LICHA YA MAMLAKA NILIYO NAYO SIWEZI KULIZUIA HILO HATA KWA MAOMBI YA KUFUNGA). HIZI HABARI ZA KUSIKIA KUNA WATU WANAANZA KUTAFUTA PA KWENDA KUJIFICHA WAO NA FAMILIA ZAO ILI KUNUSURU UHAI WAO WAKIJIHAMI NA HASIRA ZA UCHUNGU WA KISASI KUTOKA KWA WANANCHI WALIOJERUHIWA MIOYO SIO NZURI NA HAKIKA HAZIPENDEZI KABISA MASIKIONI. NATAMANI NIWAOMBEE MSAMAHA KWA WATANZANIA LAKINI KWA KUFANYA HIVYO HATA MIMI NITANAJISIKA NA HASIRA YAO ITANIKUMBA PIA(WATANIRARUA VIPANDE VIPANDE)

Hii ni sauti kutoka MAMLAKA isiyoonekana,asikiaye na afahamu!
 
Amini nakwambia ukisikia sauti za maaskofu kuna sauti fiche nyuma yao utaisikia endapo utaamua kuisikiliza kwa umakini ambayo kwa masikio ya kawaida huwezi isikia na kuona kuwa wanatetea haki kumbe wanatetea kanisa

Mimi sio mtabiri ila najipa muda na kuomba umri ili huu mpito wa Samia upite aje mtu mwingine ambae hopefully atakuwa mkatoliki nirudi hapa kukoment tena kwani ccm haijawahi na haitawahi kubadilika

Tutaona hiyo haki inayopigiwa sasa hivi, haki ya uchaguzi, haki ya katiba, haki ya mahakama na kubambikia kesi, haki ya utawala na mgawanyo sawa wa madaraka kwa raia na sio upendeleo wa watoto wao, haki ya kutochagua matabaka waislam kwa wakilisto watanganyika kwa wazanzibari, haki ya tume huru ya uchaguzi na matokeo halali nk

Haki hizo hapo juu ndio hunyimwa kwa wananchi hasa wapinzani miongo mingi ya utawala wa ccm na ndio sababu ya watu hasa wapinzani siku nyingi kupaza sauti na kuuawa natamani nione kipindi kijacho TEC hawa watumie nguvu na matamko sawa na press kama ilivyo sasa

Sauti fiche inaonesha kuna ubaguzi wa uzanzibari na utanganyika upo kwa hawa watu ndio maana ya kelele zote hizi ngoja tusubiri na tuombe Mungu wote tuwepo humu

NOTE: CCM HAIJAWAHI NA HAITAWAHI KUBADILIKA TUNAYOSHUHUDIA SASA KWA MZANZIBARI HUYU TULIYASHUHUDIA KWA MAGUFULI NA YATAKUWEPO KWA RAISI AJAYE TUJIPE MUDA
 
Nionavyo ni kwamba hao TEC kadiri mtawala anavyodelay kutenda HAKI kwa wananchi ndivyo na wao wanachachamaa. So it's directly related. Kwa Magufuli walichachamaa na kwa Samia wamechachamaa kwa sababu kama ulivyosema CCM ni Ile Ile. Sijaona element za udini(utetezi wa kanisa) kutoka kwao bali wanataka HAKI itendeke. Na kama kuna udini wa kificho nyuma yao utabainika pindi hiyo HAKI wanayaoitaka itakapotendeka!
 
Ili kuthibitisha kwamba kuna agenda ya utanganyika na uzanzibar ndani ya TEC madudu yaachwe kufanyika kwanza,kuwe shwari,HAKI inayodaiwa na wengi itendeke!. Lakini kwa mwendo huu utanganyika/uzanzibar utaendelea kusingiziwa sana!
 
Mbona mwaka 2001 hatukuwasikia wakitoa matamko

Na kwa magufuli walisikika tu kutetea covid 19 tu kuhusu viroba na sandarusi hatukuwasikia kipi kipo nyuma kwenye utawala huu kuchachamaa au kuna maslai yameguswa
 
Ni kwa utawala huu tu au hata ujao?
 
Kwani huu uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wanahusikaje kwenye maridhiano wakati hawakushiriki? Mbona simuelewi Lissu
 
Ukweli mchungu

Vijana ambao mko mstari wa mbele hadi kufikia kuhatarisha maisha yenu kwenye maandamano

Baada ya nchi kukombolewa kama mnavyodai upinzani wakichukua nchi watoto wa Lissu walioko Marekani na Lema waliopo Canada ndo watakula teuzi 😅

Ila si hasa
Usiumie sana moyoni.
 
CCM itakuwa imetokomea kusikojulikana. Nadhani reference ya mjadala wetu iwe PAST na sio FUTURE
Lete tamko la maaskofu wakati Zanzibar ikidai Uhuru wake 2001 enzi za mkapa iliyofanya wazanzibari kuuawa kama kuku TEC walisemaje
 
Mbona mwaka 2001 hatukuwasikia wakitoa matamko

Na kwa magufuli walisikika tu kutetea covid 19 tu kuhusu viroba na sandarusi hatukuwasikia kipi kipo nyuma kwenye utawala huu kuchachamaa au kuna maslai yameguswa
Mkuu umesema uongo, TEC walitoa tamko na waraka 2018 kuhusu hayo yote unayosema
 
Mimi na wewe tunashindwa elewana kitu kimoja hapa

1. Sikatai kuwa Ile haikuwa Vita
2. Nakubali kuwa hakukuwa na ulazima wa kumwaga damu

Ila ninachosema ni kuwa miaka yote ya uchaguzi ccm hutumia nguvu hizi hizi dhidi ya wapinzani wao hasa chadema na cuf

1. Mwaka 2001 waliua watu wengi kule Zanzibar na bado wakaendelea kutawala

2. Mwaka 2015 majimbo ya wapinzani yalishuhudia vifo hadi kuapishwa kwa washindi

3. Mwaka 2020 uchaguzi uligubikwa na vurugu na mauaji

Yote hayo yanatokea mwenyekiti alikuwa MBOWE

Sasa akaja huyu mwana ukombozi akasema mwaka huu hataruhusu tena damu kumwagwa kwenye uchaguzi katika kupambana na watesi wao ccm ya kuwa hawatashiriki uchaguzi bila reforms

Akaenda mbali kumtuhumu mtangulizi wake kuwa alikuwa akiwapeleka watu katika chaguzi zilizojaa umauti na sasa ndio mwisho yakuwa ili ushinde ubunge lazima damu imwagike

SWALI LANGU: Kati ya yeye na mbowe nani kamwaga damu nyingi katika kupambania mageuzi dhidi ya watesi wao ccm?
Wewe utakuwa ni mwenda wazimu kuwa na fikra za aina hii?

Kwamba Tundu Lissu ndiye kasababisha waTanzania kuuliwa kama wanyama?
 
Back
Top Bottom