PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hapana hapo unakosea sana hata kama wewe ni baba na unafanya makosa huwezi kuacha kumkana na kumwadhibu mwanao eti kwa kua na wewe una makosa ..Serikali tumeiweka sisi na tunalipa kodi ni wajibu wa kila mwananchi kukemea uchafu wote unaofanywa na serikali ..
Kwahiyo TEC ni baba wa Serikali eti
 
Haki yao ni kusikiliza sera za vyama vya siasa na kwenda kuchagua ambae wamemuelewa sio kufanya mapinduzi labda kama wanataka Tanzania iwe kama Italia inaongozwa kidini

Unaongelea uchaguzi gani boss? Huu ambao rais anatangazwa kwa kura 31m bila kuwa na wapiga kura vituoni? Kwa taarifa yako ushenzi uliofanyika 2020 na huu 2025 ni ushenzi wa hali juu, ni makosa sana kuendelea kuacha uhuni huu kufanyika hapa nchini. Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuuita huu uhayawani ni uchaguzi. Inatakiwa damu imwagike ya kutosha hadi uhayawani wa kuchezea box la kura uishe.
 
Hiyo ni kazi ya wanasiasa na vyama vya siasa au ni kazi ya taasisi za kidini?

Yani TEC iache kazi ya kuhubiri neno la mungu wao ianze kupambana na mfumo wa uchaguzi kama chama cha siasa?

Chadema na vyama vingine ndio wanatakiwa wapambanie wawe na mfumo mzuri wa uchaguzi ili wakitangaza sera zao wawe na uhakika wa kupigiwa kura ya kweli kwa wafuasi watakaowaunga mkono wakiwemo watu wa dini mbalimbali

Ila sio kazi ya taasisi za kidini kupambania mfumo wa uchaguzi kila siku matamko kama wao ni vyama vya siasa
 
Sasa hiyo chadema iko wapi mbona haipewi uhuru wa kufanya hizo siasa?
 
Watuache kwanza tulipe kisasi kwa kuua mapolisi zaidi ya 10,000 ndiyo tukae mezani
 
Mwenye macho mekundu ndio mwenye kilio
Sasa kama hadi masheikh wanaomtetea Samia hawakuwa salama sijui kipi kinakufanya uone wale polisi walikuwa wanachagua kuwauwa wafuasi wa chadema tu?
 
Sikia hata kwenye Vita waandishi wa habari huwa wanadhurika Vita haichagui raia

Ninachosema ni kuwa kuna mwamba alisema uchaguzi huu hatashiriki na hivyo haitamwagika hata damu ya kunguni kipo wapi
 
Ile haikuwa vita wala polisi hawakuwa wakipambana na watu wenye silaha hivyo huwezi kuhalalisha walichokifanya, hata hiyo vita haipiganwi hivyo ina taratibu zake. Yani ukamuuwe mtu nyumbani kwake halafu useme vita haichagui wakati walitakiwa kudeal na watu wanaofanya fujo huko mitaani.

Hakukuwa na ulazima wa kumwaga damu ukizingatia waandamanaji wenyewe hawakuwa na silaha, sasa aulizwe Samia kipi kilimfanya hadi aamuwe kumwaga damu au ndio kusema ni kafara ya uchaguzi?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji.

Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.

View attachment 3503554
Huu ndio ukweli pekee.

Samia mbali ya kuwa mtu mwovu kabisa, lakini hata utapeli, hadaa, ulaghai umemjaa kichwani.

Maisha ya huyu mwanamke ni ya kishetani kabisa.
 
Ile haikuwa vita wala polisi hawakuwa wakipambana na watu wenye silaha hivyo huwezi kuhalalisha walichokifanya, hata hiyo vita haipiganwi hivyo ina taratibu zake. Yani ukamuuwe mtu nyumbani kwake halafu useme vita haichagui wakati walitakiwa kudeal na watu wanaofanya fujo huko mitaani.

Hakukuwa na ulazima wa kumwaga damu ukizingatia waandamanaji wenyewe hawakuwa na silaha, sasa aulizwe Samia kipi kilimfanya hadi aamuwe kumwaga damu au ndio kusema ni kafara ya uchaguzi?
Kwani unadhani hawa watu kama huyo uliye mjibu hapa hawayajui haya uliyo yaeleza, mkuu 'Tz mbongo'?

Hata iweje, Samia hawezi kamwe kukivua hiki kitanzi kilichopo shingoni mwake. Ni swala la muda tu.
 
Hiyo ni kazi ya wanasiasa na vyama vya siasa au ni kazi ya taasisi za kidini?

Yani TEC iache kazi ya kuhubiri neno la mungu wao ianze kupambana na mfumo wa uchaguzi kama chama cha siasa?

Chadema na vyama vingine ndio wanatakiwa wapambanie wawe na mfumo mzuri wa uchaguzi ili wakitangaza sera zao wawe na uhakika wa kupigiwa kura ya kweli kwa wafuasi watakaowaunga mkono wakiwemo watu wa dini mbalimbali

Ila sio kazi ya taasisi za kidini kupambania mfumo wa uchaguzi kila siku matamko kama wao ni vyama vya siasa
Hiyo ni kazi ya wananchi wote sio ya vyama vya siasa. Kazi ya vyama vya siasa ni kushawishi watu wa wajiunge na vyama vyao. Ila uchaguzi ni jambo la wananchi wote. Una hoja nyingine kwa ufafanuzi zaidi?
 
Ile haikuwa vita wala polisi hawakuwa wakipambana na watu wenye silaha hivyo huwezi kuhalalisha walichokifanya, hata hiyo vita haipiganwi hivyo ina taratibu zake. Yani ukamuuwe mtu nyumbani kwake halafu useme vita haichagui wakati walitakiwa kudeal na watu wanaofanya fujo huko mitaani.

Hakukuwa na ulazima wa kumwaga damu ukizingatia waandamanaji wenyewe hawakuwa na silaha, sasa aulizwe Samia kipi kilimfanya hadi aamuwe kumwaga damu au ndio kusema ni kafara ya uchaguzi?
Mimi na wewe tunashindwa elewana kitu kimoja hapa

1. Sikatai kuwa Ile haikuwa Vita
2. Nakubali kuwa hakukuwa na ulazima wa kumwaga damu

Ila ninachosema ni kuwa miaka yote ya uchaguzi ccm hutumia nguvu hizi hizi dhidi ya wapinzani wao hasa chadema na cuf

1. Mwaka 2001 waliua watu wengi kule Zanzibar na bado wakaendelea kutawala

2. Mwaka 2015 majimbo ya wapinzani yalishuhudia vifo hadi kuapishwa kwa washindi

3. Mwaka 2020 uchaguzi uligubikwa na vurugu na mauaji

Yote hayo yanatokea mwenyekiti alikuwa MBOWE

Sasa akaja huyu mwana ukombozi akasema mwaka huu hataruhusu tena damu kumwagwa kwenye uchaguzi katika kupambana na watesi wao ccm ya kuwa hawatashiriki uchaguzi bila reforms

Akaenda mbali kumtuhumu mtangulizi wake kuwa alikuwa akiwapeleka watu katika chaguzi zilizojaa umauti na sasa ndio mwisho yakuwa ili ushinde ubunge lazima damu imwagike

SWALI LANGU: Kati ya yeye na mbowe nani kamwaga damu nyingi katika kupambania mageuzi dhidi ya watesi wao ccm?
 
Back
Top Bottom