albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,201
- 3,703
Mwenye ndefu utakuwepo??? Au anachangamsha kijiwe af unatuandikia vimemo kama mwenzakoBila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vile
Sikulaumu
Mwenye ndefu utakuwepo??? Au anachangamsha kijiwe af unatuandikia vimemo kama mwenzakoBila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vile
Sikulaumu
Kukinukisha harufuuu jamba na hilo tako kubwa tayar unakuwa umekinukisha acha kumsingizia mh lissuKwahiyo mwenyekiti kusema watakinukisha alilenga kukinukisha kabla au wakati wa uchaguzi?
Aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi ndio kawakaanga, maana hadi yule sheikh aliyemuombea dua pia hakubaki salama.Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kuingia barabarani lengo ni kufikisha mwisho wa mauaji yasiyokoma kwenye uchaguzi. No gain no pain. Nakuuliza tena, kuna popote kiongozi wa cdm kashika silaha kuuwa mwananchi? Hao walioua waliua zaidi maana walitegemea watu wataendelea kuuliwa kila siku. Sasa imefika mwisho, na bado hatua kali za wote waliosababisha mauji zitachukuliwa.Hivi unaelewa hoja?
Hii vita ni kati ya chadema vs ccm/dola ambapo siku zote wanaoonewa na kuuliwa ni chadema hasa katika uchaguzi
Sasa mwenyekiti huyu akasema mtangulizi wake alikuwa akiwapeleka wafuasi wake kwenye tanuri la kifo kwa kushiriki chaguzi nyingi na akaja na usimamizi wa nrne ili watu wasiende kufa tena
Swali: yeye na mbowe nani kawaingiza wafuasi kwenye shimo la umauti tena wa halaiki
Siku hizi mnafanya uchaguzi kwenda mbinguni sio kumuabudu mungu yesu tenaHuna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Uchaguzi ni siasa? Lazima waongelee uchaguzi maana ndio unatoa hatima ya waumini wao kiuongozi. Hao waumini wao umesikia wakikataa viongozi wao wa dini kuungelea? Mtafanya ushenzi kisha viongozi wa dini waufumbie macho?
Na hata hawashtukiZa kuambiwa changanya na zako... Wakati huo yupo magetoni anawaandikia vimemo....
Kwani huyo hakuwepo enzi za mbowe? Badala yake mwamba akaambiwa kalamba asali na tukaambiwa mwaka huu hakutakuwa na mwanachadema atakaemwaga damu maana hatushiriki uchaguzi bila reforms kilichotokea sasaAliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi ndio kawakaanga, maana hadi yule sheikh aliyemuombea dua pia hakubaki salama.
Kwani kipindi cha mbowe yeye aliwapiga lisasi wale waliompambania ili awe mbunge wa hai? Elewa hoja mimi hapa siongelei ccm naongelea chadema ya mbowe na lissuKuingia barabarani lengo ni kufikisha mwisho wa mauaji yasiyokoma kwenye uchaguzi. No gain no pain. Nakuuliza tena, kuna popote kiongozi wa cdm kashika silaha kuuwa mwananchi? Hao walioua waliua zaidi maana walitegemea watu wataendelea kuuliwa kila siku. Sasa imefika mwisho, na bado hatua kali za wote waliosababisha mauji zitachukuliwa.
Na ninapenda kukuhakikishia, tutafanya jambo la kihistoria na itakuwa mwisho wa unyama huu uliokuwa ndani ya nchi hii. Na huo ndio utakuwa mwisho wa ccm, hali kadhalika na utamaduni wa chama kimoja kukaa madarani muda mrefu, tena bila ridhaa ya umma.
Kwa maana lissu ana tako kubwa kawajambia wanaccm na polisiKukinukisha harufuuu jamba na hilo tako kubwa tayar unakuwa umekinukisha acha kumsingizia mh lissu
Kwani walioko huko kanisani ni wajinga wasiojua lolote? Walipokuwa wakipewa elimu ya ukimwi huko kanisani waliacha kumuabudu Mungu? Ni jamii gani isiyojadili mazingira yao, au wao ni maroboti wa kumuabudu Mungu tu bila kujua lolote nje ya huyo Mungu?Siku hizi mnafanya uchaguzi kwenda mbinguni sio kumuabudu mungu yesu tena
Kuna kinachofanyika huko sikuhizi zaidi ya siasa kweli? Maana kinasikika maridhiano tu na uchaguzi imekuwa ndio ibada za wakatolikiKwani walioko huko kanisani ni wajinga wasiojua lolote? Walipokuwa wakipewa elimu ya ukimwi huko kanisani waliacha kumuabudu Mungu? Ni jamii gani isiyojadili mazingira yao, au wao ni maroboti wa kumuabudu Mungu tu bila kujua lolote nje ya huyo Mungu?
Wakishajisajili watakuwa huru kuongea hayo wanayotaka kuongea au pia wakiongea viongozi wao watakamatwa na chama chao kitazuiliwa kufanya siasa?Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tu
Kilichotokea aulizwe aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi na akawaambia watu watoke waende kupiga kura akawahakikishia usalama yeye kama Amiri jeshi mkuu, ila mwisho wa siku hilo jeshi lake likauwa watu bila kujali ulikuwa unaandama au umetoka kupiga kura na wote aliyowauwa anawahesabu kuwa ni vibaka tu.Kwani huyo hakuwepo enzi za mbowe? Badala yake mwamba akaambiwa kalamba asali na tukaambiwa mwaka huu hakutakuwa na mwanachadema atakaemwaga damu maana hatushiriki uchaguzi bila reforms kilichotokea sasa
Kama la kwakoKwa maana lissu ana tako kubwa kawajambia wanaccm na polisi
Kawaingizaje wafuasi wa chadema wakati hata uchaguzi hawakushiriki? Na viongozi wote wa juu walikuwa ndani? Na hawakutoa kauli yeyote ile acheni kuwasingizia chadema Kwa maovu yenu.Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Naam naam nashukuru sanaSasa hawa wanaotaka maridhiano je unaridhiana na nani? kwa ajili ya nini? au ndo kuunda tume za kupeana ulaji alafu baadae kimya hamna lolote.
Dunia imebadilika, ufahamu na uelewa wa watu umebadilika la msingi ni kuachana na siasa za hadaa na ujanjaujanja na kutekeleza yale wananchi wanayoyataka.
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Wajilasmishe kabisa kuwa wanasiasa sio kutumia mwamvuli wa diniWakishajisajili watakuwa huru kuongea hayo wanayotaka kuongea au pia wakiongea viongozi wao watakamatwa na chama chao kitazuiliwa kufanya siasa?
Alooh wewe kichwa chako ni kigumu Sana kuelewa sasa kwenye hii hoja yangu raisi anahusikaje au ccm kwa ujumla inahusikaje?Kilichotokea aulizwe aliyesema hakutakuwa na nywi nywi nywi na akawaambia watu watoke waende kupiga kura akawahakikishia usalama yeye kama Amiri jeshi mkuu, ila mwisho wa siku hilo jeshi lake likauwa watu bila kujali ulikuwa unaandama au umetoka kupiga kura na wote aliyowauwa anawahesabu kuwa ni vibaka tu.
Sasa hapo nani kawaingiza wenzie chaka?
DuuhKama la kwako