PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Acha akili ndogo. Kufa ndiyo ukombozi, Tangany6bwill not be the same again
 
Maandamano kaanzisha yeye? Seriously

Mtu yupo mahabusu for how long?
Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
 
Pole sana kwa kuwa mpumb.avu, hujui hata maana ya siasa, wala hujui kazi ya watumishi wa Mungu.

Ulivyokosa akili unaamini kuwa uovu ni siasa. Watumishi wa Mungu wa kweli, siku zote, jukumu lao la kwanza ni kukemea uovu, na kuwataka waovu watubu, wamrudie Mungu, watende hami, kwa sababu Mungu tunayemwabudu ni MUNGU WA HAKI. Dhuluma ni uovu, na uovu ni dhambi. Dhambi itaendelea kuwa ni dhambi nila ya kujali kama anayetenda ni rais, ombaomba, mkulima au mfanyakazi, mwanaume au mwanamke, ana dini au hana dini.

Hongereni sana watumishi wa Mungu mliosimama imara kukemea dhambi ya dhuluma, dhambi ya mauaji, dhambi za utekaji na mauaji. Mungu wa kweli azidi kuwajalieni ujasiri wa kusimama katika kweli yake dhidi ya watumishi wa shetani waliosimama kuyatetea matendo ya shetani. Lakini lililo wazi, shetani hawezi kumshinda Mungu.
Mbona hatukuwasikia wakikemea mauaji ya Zanzibar 2001? Au ule ulikuwa sio uovu
 
Yeye angekuwa anaitakia mema nchi na anataka haki angesimama kidete kwenye uchaguzi, asingeanza siasa za mdomo badala ya vitendo. Kitendo cha kuanza siasa za maneno tayari ni kutoka kwenye weledi wako. Amezingua pakubwa. Na bado anachochea watu waandamane!!!.
 
Acha akili ndogo. Kufa ndiyo ukombozi, Tangany6bwill not be the same again
Ila dhumuni ilikuwa wasishiriki uchaguzi ili kuzuia vifo

Lissu alisema wanashiriki uchaguzi ili iweje? Waende wakauliwe tena kama inavyokuwaga kila uchaguzi!! Badala yake kipi kimetokea
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Kwa taarifa yako siasa ni lazima ijadiliwe na yoyote ndio inayotuongoza wote. Hakuna popoteTEC imejadili siasa za vyama bali utawala. Jifunze kwaza tofauti ya siasa na utawala wa nchi, ukishajua tofauti uje kwenye mjadala. Epuka upotoshaji au kuwa bendera fuata upepo.
 
Ila dhumuni ilikuwa wasishiriki uchaguzi ili kuzuia vifo

Lissu alisema wanashiriki uchaguzi ili iweje? Waende wakauliwe tena kama inavyokuwaga kila uchaguzi!! Badala yake kipi kimetokea
Kwahiyo kutoshiriki kwao ilikuwa ni ili ccm wajitangaze kwa kura batili? Kuna popote uongozi wa cdm ulishika bunduki kuua watu? Ams mnadhani watu wataendelea kuwa waoga/wajinga wa kudumu.
 
Kwa taarifa yako siasa ni lazima ijadiliwe na yoyote ndio inayotuongoza wote. Hakuna popoteTEC imejadili siasa za vyama bali utawala. Jifunze kwaza tofauti ya siasa na utawala wa nchi, ukishajua tofauti uje kwenye mjadala. Epuka upotoshaji au kuwa bendera fuata upepo.
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tu
 
Kwahiyo kutoshiriki kwao ilikuwa ni ili ccm wajitangaze kwa kura batili? Kuna popote uongozi wa cdm ulishika bunduki kuua watu? Ams mnadhani watu wataendelea kuwa waoga/wajinga wa kudumu.
Hivi unaelewa hoja?

Hii vita ni kati ya chadema vs ccm/dola ambapo siku zote wanaoonewa na kuuliwa ni chadema hasa katika uchaguzi

Sasa mwenyekiti huyu akasema mtangulizi wake alikuwa akiwapeleka wafuasi wake kwenye tanuri la kifo kwa kushiriki chaguzi nyingi na akaja na usimamizi wa nrne ili watu wasiende kufa tena

Swali: yeye na mbowe nani kawaingiza wafuasi kwenye shimo la umauti tena wa halaiki
 
Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
Wala si yeye, kuna mtu mnamruka na anajulikana.
Alipokamatwa nguvu ziliishia hapo. Kilichoibuka ni kingine
 
Mbinu tu maana mbowe alienda na bendera ya chama kwenye maandamano akapewa kesi ya ugaidi najaribu kukuelewesha hata kama unaelewa
Mbinu? 🤣🤣🤣 kuwa serious bro

Hawa watu walikaa pembeni, chadema haina wanachama nchi nzima

Na Mungu wa ajabu sana, walipigwa ban kufanya shughuli za kisiasa sababu ya kesi, yakatokea ya kutokea wakiwa hawapo uraiani
 
Endelea kujizima data hivyo hivyo kwa kujua watanzania ni mambumbumbu wasiojua nini kinaendelea
 
Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
ni bora atugeuke huku ccm mkiwa nje kbs na mmerudsha mali za umma zote mlizoiba na kugawana
 
Yeye angekuwa anaitakia mema nchi na anataka haki angesimama kidete kwenye uchaguzi, asingeanza siasa za mdomo badala ya vitendo. Kitendo cha kuanza siasa za maneno tayari ni kutoka kwenye weledi wako. Amezingua pakubwa. Na bado anachochea watu waandamane!!!.
uchaguz upi? Kwan kuna uchaguz umefanyka hp tanganyika? Mnaolitakia mema taifa hili madai ambayo yalitolewa na chadema kwny yale maridhiano yenu kabla ya chaguz mlishndwa nn kuyakubali ili yeye na chama chake waingie kwny uchaguzi? Kama mnalitakia mema taifa hli madai ya watz kabla ya uchaguz si yalikuwa waz kbs na yana maana kbs tena ya haki na amani mkajpa kiburi mkafanya uchaguz fake mkaanza kuua watanganyika, mngelikuwa mnalitakia mema taifa hili mngeuza bandari, migodi nk? Mngelikuwa mnalitakia mema taifa hli mngeua watu kama kuku ili kuhalalisha uchaguz fake? Nguruwe wewe hutakiwi kupewa lulu.
 
Wala si yeye, slow slow kaja baadae sana, hakuwa na nguvu
Tutaona itakapoishia maana mtu akifa huwa kuna waombolezaji mpaka sasa waombolezaji washajulikana ni akina nani hivyo ni rahisi kujua vifo vilikotokea
 
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tu
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Uchaguzi ni siasa? Lazima waongelee uchaguzi maana ndio unatoa hatima ya waumini wao kiuongozi. Hao waumini wao umesikia wakikataa viongozi wao wa dini kuungelea? Mtafanya ushenzi kisha viongozi wa dini waufumbie macho?
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Za kuambiwa changanya na zako... Wakati huo yupo magetoni anawaandikia vimemo....
 
Back
Top Bottom