PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano kaanzisha yeye? Seriously

Mtu yupo mahabusu for how long?
Haihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data

Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi
 
Jumuiya ya madola imetuma mjumbe wake kupatanisha, je atarudi na majibu gani?
Atarudi mikono mitupu tu. Maana haijulikani anakuja kuwapatanisha akina nani! zaidi tu ya kuja kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, vyama vya siasa, viongozi wa NGO's na viongozi wa dini.
 
Haihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data

Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi
Sasa ccm walishindwa kuwashawishi watu wasiandamane wakapige kura
Maanake wamezidiwa ushawishi
 
Kwani mpaka useme. We can read through and between the lines. Upande unaoutetea hauna hoja zaidi ya hiyo.
Umedandia hoja ndio maana unajibu kwa uelewa hasi fuatilia maongezi yangu na huyo mdau vizuri halafu uniambie wapi nimetetea wauaji au nipo upande wao
 
Sasa ccm walishindwa kuwashawishi watu wasiandamane wakapige kura
Maanake wamezidiwa ushawishi
Hoja yangu sio ccm, hoja yangu ni lissu alipombagaza mbowe kuwapeleka watu kikaangoni kwa kushiriki uchaguzi badala yake yeye kawapeleka machinjioni kwa kuhubiri kukinukisha kwa mgongo wa nrne
 
Hoja yangu sio ccm, hoja yangu ni lissu alipombagaza mbowe kuwapeleka watu kikaangoni kwa kushiriki uchaguzi badala yake yeye kawapeleka machinjioni kwa kuhubiri kukinukisha kwa mgongo wa nrne
Lisu alikuwepo kwenye maandamano?
Usiwe mjinga
 
Unaonekana huelewi kiingereza ndio maana niliposema "the same applies to BAKWATA hujaelewa
Unawezaje kulinganisha Tec na Bwakwata
Au unawezaje kulinganishaje Bwakwata na shura ya Maimamu

Unalingaje watu wanaotumiwa na wanaosimammia haki

Tumia akili
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Nchi ngum hii
 
Attachments

  • Screenshot_20251117-215246.jpg
    Screenshot_20251117-215246.jpg
    145.8 KB · Views: 22
Unawezaje kulinganisha Tec na Bwakwata
Au unawezaje kulinganishaje Bwakwata na shura ya Maimamu

Unalingaje watu wanaotumiwa na wanaosimammia haki

Tumia akili
TEC ni chama cha siasa?

Bakwata ni chama cha siasa?

Shura ya maimamu ni chama cha siasa?

Je kwenye taasisi zao hawana matatizo zaidi ya kufanya siasa?
 
Kwani mbowe alimpiga mtu lisasi wakati wa kutetea ushindi wakati wa chaguzi za 2015, 2020?

Hutaki kuelewa hoja wajizima data
Mbowe alikuwa shujaa mpaka alipokubali kulegezwa na mama Abdul Ikulu

Mbowe aliyetoka Ikulu ni tofauti sana na aliyeingia gerezani

Na imedhirika wazi baada ya kukosa uenyekiti

Hata kama sio mwanasiasa Tena mpaka Leo hajaweza kukemea kilichotendeka hata kiutu TU au kiubinadamu
 
Kati ya lissu na mbowe nani kawapeleka wafuasi wa chadema machinjioni
 
TEC ni chama cha siasa?

Bakwata ni chama cha siasa?

Shura ya maimamu ni chama cha siasa?

Je kwenye taasisi zao hawana matatizo zaidi ya kufanya siasa?
Kila taasisi Ina matatizo yake na hayaishi Leo Wala kesho

Lakini wameamua kudili na matatizo ya Taifa kwanza maana taifa ni kubwa kuliko taasisi yoyote

Bahati mbaya Kuna ambazo zeamua kukaa upande wa madhalimu

Jitahidi kutumia akili
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌

20251112_102246.png
 
Haihitaji hata cheti cha std7 kujua kuwa kwanini uchaguzi huu uligubikwa na maandamano labda uamue kujizima data

Ila kila mtu anajua kuwa NrNe ndio chanzo cha maandamano wakati wa uchaguzi
NRNE ililenga kabla ya uchaguzi, sio wakati wa uchaguzi
Hata hivyo nguvu yake ilipungua mno alifunguliwa kesi na chama kupigwa ban project ikafa
Hiki kilichoibuka katikati sio NRNE, ni kitu kingine
 
Back
Top Bottom