PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa hawa wanaotaka maridhiano je unaridhiana na nani? kwa ajili ya nini? au ndo kuunda tume za kupeana ulaji alafu baadae kimya hamna lolote.

Dunia imebadilika, ufahamu na uelewa wa watu umebadilika la msingi ni kuachana na siasa za hadaa na ujanjaujanja na kutekeleza yale wananchi wanayoyataka.
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
 
Bila shaka wewe ni mfupi wa kimo, na wafupi siku zote mna matatizo, akili zenu ni fupi vile vile

Sikulaumu
 
Jumuiya ya madola imetuma mjumbe wake kupatanisha, je atarudi na majibu gani?
 
Mashehe wa BAKWATA ndio vinara wa siasa Tanzania hii, kila kukicha siasa za CCM.. Je hawa TEC wangekua wanaipamba serikali mngesema wanaingilia siasa..Sema TEC wanagusa maslahi ya mafisadi , watekaji , wahujumu uchumi, wezi wa kura ndo maana mnawaona wabaya.Watanzania kwa sasa wana akili sana , Tatizo la TEC ni kukosoa maovu ya serikali ndo maana wanaonekana wabaya ..
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kwa sasa waliouwawa sio chadema ni watanganyika walio kandamizwa miaka mingi ndo wameanza kudai haki yao kwa nguvu ..
 
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
 
Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Kuwa na akili hata kidogo basi kwa faida yako mwenyewe. Maandamano ya tarehe 29 Oktoba yaliitishwa vipi ambaye anashikiliwa Ukonga kwa zengwe tangu mwezi wa 4?

Je, kwenye yale maandamano uliona vijana waliovaa sare na kubeba bendera za Chadema? Kuna kiongozi wa Chadema ulimuona akiwa mbele kuongoza hayo maandamano kama ilivyo zoeleka hapo kabla?

Kwa nini unashindwa kutambua ya kwamba hayo maandamano yaliongozwa na vijana shupavu waGen Z?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…