Hata mimi nimejuliza sana kuhusu hayo maridhiano kuwa yatakuwa kati ya nani na nani !Sasa hawa wanaotaka maridhiano je unaridhiana na nani? kwa ajili ya nini? au ndo kuunda tume za kupeana ulaji alafu baadae kimya hamna lolote.
Dunia imebadilika, ufahamu na uelewa wa watu umebadilika la msingi ni kuachana na siasa za hadaa na ujanjaujanja na kutekeleza yale wananchi wanayoyataka.
πππππMkishindwa hoja mnakimbilia matusi na kejeli ndio zenu tunawajua wafuasi wa TEC na chadema
Hapana nimetukanaπππππ
Kwahiyo mkuu hapo wewe umetoa hoja πππ
Mkuu soma kwa utulivu. Umesema kwa magufuli walikataa corona tu, mengine walifumbia macho kama watu kuuwawa n.kMaafa ya 2001 uje utoe tamko 2018 are you serious?
Vipi yale mauaji ya 2001 kibiti na Zanzibar TEC walisemaje au waliouawa kipindi kile ni magaidiMkuu soma kwa utulivu. Umesema kwa magufuli walikataa corona tu, mengine walifumbia macho kama watu kuuwawa n.k
Hapo ndio nikakumbusha kuwa 2018 walitoa waraka mzito kuhusu hayo ya watu kupokwa haki zao
Mkuu haya maandiko ya karibuni tunayapata sababu ya kuwwpo kwa hizi social media. So rahisi kupata maandiko ya 2001 sasa.Vipi yale mauaji ya 2001 kibiti na Zanzibar TEC walisemaje au waliouawa kipindi kile ni magaidi
Haihitaji mtu "kuwa timamu" kujuwa mauaji ya waTanzania yametokana na nini. Wewe utakuwa mtu mwenye kiwango cha chini kabisa kutojuwa hilo.Sawa wewe ulietimamu
Sawa wewe mwenye kiwango cha juu cha utimamuHaihitaji mtu "kuwa timamu" kujuwa mauaji ya waTanzania yametokana na nini. Wewe utakuwa mtu mwenye kiwango cha chini kabisa kutojuwa hilo.