[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Lissu yuko bold, angekuwa Lowassa leo angekuwa Dodoma kwenye maadili.
Ukitaka kushindwa uraisi wa Tanzania uwe wa muungano au wa Zanzibar ni kazi ndogo mnoKila jambo na wakati wake,hawajachelewa hata sasa mabadiliko yanapoenda kutimia ni suala la muda muafaka.Hakikisha Mh.Lissu anapata kura yako,rafiki,familia na jamaa wote walio katika ushawishi wako ili Mh.Lissu apate ushindi wa kimbunga.Yangu na wanaonizunguka anayo tunasubiri siku ifike tufanye yetu.
Lissu yuko bold, angekuwa Lowassa leo angekuwa Dodoma kwenye maadili.
Ujasiri wa kipuuzi na yeyote anayeunga mkono upuuzi wake ajiandae kwa lolote litakalomtokea iwapo atatakiwa kuingia barabarani.Wakati wa Bwana ndio huu.
JESUS IS LORD.
Yesu hakuja kumwaga damuWakati wa Bwana ndio huu.
JESUS IS LORD.
Marekani wamepiga marufuku afisa yeyote wa ICC asikanyage kwaoKuna baadhi ya Watanzania wenzetu kwa ulevi tu wa madaraka wanadhani ile Mahakama ya The hugue ni pambo tu, wawaulize wenzao Kwanza.
Nawaache kutu ika kwa mslahi ya upande Fulani.Kwa misimamo hii ya Lissu, nashauri Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi watimize wajibu wao tu;
Kutangaza kwa haki Mgombea aliyepata kura nyingi na Kulinda Raia na Mali zao.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki watanzania.
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Siyo hilo tu, anatafuta pia mahali pa kuanzia, pa kuichokonoa hii Serikali, kwani kwa mawazo yake na ubishi wake usio kuwa na maana, anadhani anamkoa yoyote kwa kutimiza matakwa na maelekezo ya hao mabeberu waliomtuma. Kama ambavyo huwa anasema Rais mmoja wa nchi moja jirani yetu kuwa "anasubiri the right time and right time to place to strike". Ndivyo itakavyo kuwa.Amechemka kwenye kampeni anatafuta sababu za kuenguliwa sasa!
endelea kucheza gonjera ndo tunakwenda kihivyoHao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Mumfundishe huyo jamaa yenu kwamba urais siyo umonitor wa darasa la nne!Sometimes muwage na akili ata kdg, safari hii hila na maovu yenu yanatazamwa kwa dunia nzima, wauaji na watesaji saa yenu yaja.
Wewe huna shule kichwani. Umeambiwa ACT na CDM hazijaungana, ndiyo sababu hakuna maamuzi ya hizo kamati kuu.Hao wengine Mrema na Cheyo matamko yao yaidhinishwa na kamati kuu zao na mikutano mikuu yao
CHADEMA hilo halipo ni Lissu kujiropokea mwenyewe kwenda mbele
Yaani anakufurahisha kupotosha du chadema mna matatizo makubwa, sikiliza; mrema alipeleka mapendekezo mkutano mkuu ukaridhia na hata Cheyo alifanya hivyo na akatangaza hadharani. Lissu ni janga la taifa, amewashika masikio hadi mnamuita jembe lenu. Jaribuni muone sheria inavyofanya kazi.TLP na UDP wana muhitasari wa maamuzi ya mikutano mikuu. Chadema janga la Taifa"Lissu ananipa raha Sana yeye uwa aongelei Jambo bila reference"