Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

Acheni kutumika vijana. Na pia acheni kutumia vijana kufanya fujo. Nendeni barabarani nyie na watoto wenu
Acheni huu uhuni

IMG-20201024-WA0026.jpg
 
Zitabaki kuwa tuhuma tu

Utetezi huo wa mtu ambaye ndiyo mtuhumiwa mwenyewe labda kama ni kichekesho kama cha kwenye "mizengwe" tu.

Watanzania wa leo si wajinga. Acha tuone ila ICC ipo na kwa hakika inaita.
 
Hufai hata kutabiri kama panya aliepo ndani ya nyumba atakula nguo ama la
 
Utetezi huo wa mtu ambaye ndiyo mtuhumiwa mwenyewe labda kama ni kichekesho kama cha kwenye "mizengwe" tu.

Watanzania wa leo si wajinga. Acha tuone ila ICC ipo na kwa hakika inaita.
ICC Haina nafasi Tanzania
 
Back
Top Bottom