mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Acheni kutumika vijana. Na pia acheni kutumia vijana kufanya fujo. Nendeni barabarani nyie na watoto wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni huu uhuniAcheni kutumika vijana. Na pia acheni kutumia vijana kufanya fujo. Nendeni barabarani nyie na watoto wenu
Siyo kazi rahisi tatizo kwenye kura haki haizingatiwi nchi nyingi tu upande wa kura kuna ubadhilifu mwingi sanaJiandaeni tu kuwa wapinzani. Mtake msitake, Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
Uhuru wa kina Mahera kuteuliwa na jiwe hadi kumpigia kampeni wazi wazi?Uwanja uko huru siku zote
Zitabaki kuwa tuhuma tu
Tena wengi siyo wavumilivu wa foleni pia wako maeneo tofauti na walikojiandikishia sidhani kama wataweza rudi vituoni wanakotakiwa, hapa ndio penye nyomi ya Lissu kumdanganya mtu wao.Wafuasi wa Tundu Lissu siyo wapiga kura ni vijana wa kihuni tu
Mnaowaita wahuni.. miaka 59 ya uhuru mmewapatia elimu duni..sasa tarehe 28 wana jambo lao..Wafuasi wa Tundu Lissu siyo wapiga kura ni vijana wa kihuni tu
Jibu la kuiba kuraUtapata jibu kuanzia Alhamis jioni
Ndivyo CCM, mnavyo karirishwa uko chamani, safari hii imekula kwenu!A na B no sawa au x = y