Baada ya Ibilisi Mwendakuzimu Jiwe Kufa Nchinimepata AhueniMaelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari...
Mimi ni mwana CCM mwenzako naomba unisimulie ukweli wa tukioKwa wanaoijua CHADEMA inawezekana kabisa ni inside job!
- CHADEMA mabingwa wa mapichapicha, walijitahidi kuhakikisha picha za tukio hilonhazisambai kinyume na utamaduni wao...
Maswali yako yote jibu lake ni moja na rahisi sana;Kwa wanaoijua CHADEMA inawezekana kabisa ni inside job!
- CHADEMA mabingwa wa mapichapicha, walijitahidi kuhakikisha picha za tukio hilonhazisambai kinyume na utamaduni wao...
Naona na wewe umechagua upande. na Ukome kunimezesha maneno.Watu wengine mna roho za ajabu sana. Yaani unaona sawa kuchagua muuaji Lakini sio victims wa hao wauaji?
Hayo uliyobandika juu ndio wanayodai wahusika. Nyuma au kwenye mabandiko yangu mengine nimegusia kuhusu hilo.Si waunde Tume yenye watalaam wa nje na ndani na kuchunguza hii issue?
Wenye jukumu na wajibu kisheria wa kuchunguza ni POLISI.Kwa kifupi unadai. Case Closed!
Nafikiri utakuwa haumtendei haki T.L ambaye anawezekana ana taarifa nyingi zaidi.Temeke alisema huwa anatembea na kabrasha zenye Taarifa nyingi tu....
Msema pweke ndio mshindiMaelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande....
Eti unasemaje?I think mada bado ina miguu ya kusimama na Kudai yanayodaiwa....TL aseme ukweli
..wenye jukumu na wajibu kisheria wa kuchunguza ni POLISI.
..Ninachoshangaa ni watu kumsakama zaidi Lissu badala ya kuwashinikiza Polisi watimize wajibu wao.
..Labda sura au jina la Lissu ni tatizo kwa Polisi. Lakini aliyeshambuliwa ni CHIEF WHIP wa kambi ya upinzani bungeni. Sio mtu mdogo ktk masuala la KIBUNGE...
Mleta mada ni wazi wewe sio mtaalamu wa kupeleleza jambo hili na maswali unayouliza yanaweza hata yasiulizwe na mtaalamu wa uchunguzi. Jaribu kushughulika na mambo uliyo na uwezo nayo!!
Vijana wa nchi hii tutadharauliwa kwa ujumla wetu kumbe dharau ilipaswa kuelekezwa kwako tu.
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto...
Unafikiri kujificha nyuma ya "Uzima tele" ndio sintoweza kukubutua na kukuambia unachutama vibaya. Unachutama kwa mihemeko.Kama huyu SYLLOGIST! bado anakuwa hakuelewi, basi atakuwa na lake jambo..
Anauliza maswali ya eti;
✓ Where is the disconnect, au;
✓ Nani mkaidi nk nk..
Ndugu SYLLOGIST! you are trying people's intelligence, right..?
It's because you know the answers of all these questions..!
Nionyeshe mstari ninapoonyesha najua kila kitu na mistari ninayouuliza maswali.?It's because you know the answers of all these questions..!
Ninakujibu bila ya mpangilio au mtiririko maalum...wenye jukumu na wajibu kisheria wa kuchunguza ni POLISI.
..Ninachoshangaa ni watu kumsakama zaidi Lissu badala ya kuwashinikiza Polisi watimize wajibu wao.
..Labda sura au jina la Lissu ni tatizo kwa Polisi. Lakini aliyeshambuliwa ni CHIEF WHIP wa kambi ya upinzani bungeni. Sio mtu mdogo ktk masuala la KIBUNGE.
..Sasa kwanini Polisi wana-behave namna hii? Hivi kwenye nchi tunazotaka kufanana nazo Polisi wao wanaenenda kama wetu kwenye matukio makubwa kama la Lissu?
..Na kama mtu maarufu na mwenye wadhifa kama Lissu tukio lake linafanyiwa dharau na kebehi na Polisi, mtu wa kawaida akipatwa na mkasa itakuwaje?
..POLISI ndio wanaopaswa kuwa na maelezo mengi zaidi. Wao ndio wenye GARI lenye ushahidi wa matundu ya risasi. Ndio waliokusanya vidhibiti na vielelezo toka eneo la tukio.
..POLISI pia wana CCTV cameras zilozokuwa eneo la tukio. They should tell the public nani walionekana wakimshambulia Lissu. Tulitakiwa tuwe tunawajua kwa majina na picha wahusika wa tukio lile.
..POLISI wanapaswa kueleza kwanini WALINZI waliondolewa eneo la tukio. Nani aliwaondoa? Kwa nia gani? Alielekezwa na nani?
..Maswali ya Lissu kuumia mguu wa kushoto au kulia they dont change the fact kwamba kuna watu walijaribu kumuua. Swali muhimu la kujiuliza na kuwahoji Polisi ni watu hao ni kina nani? Nani aliwatima?
1. Kama parking ilikuwa imejaa wenye magari walikuwa wapi? Kikawaida kungekuwa na mayoress na watu wengi.Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao
Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Lissu
MASWALI
1. Je risasi zilipigwa kutoka nyuma yake?
2. Mbona gari lake lilionekana kuwa risasi zilikuwazimepigwa ubavuni. Kama niko sahihi hii iliwezekana vipi wakati hakukuwa na nafasi ya wao kuegesha gari hapo?
Maana yake ni kuwa nafasi kati ya gari na gari kwenye maegesho isIngeweza kumfanya mpigaji atumie bunduki kwa usahihi mpaka asogee karibu sana na hii ingemfanya amtambue aliyemshambulia.
3. Kwa nini dreva wake kama mtu aliyekuwa kwenye tukio anamzuia asitoe maelezo yake?
Joka Kuu,
Hilo kuuliza Polisi nani alifanya na nani aliwatuma....na majibu ya Awali kwa wale ambao tunaamini kuwa ndio wenye taarifa....hazikuwaridhisha wengi tu, wa upande unaoamini alitandikwa risasi Afe....Taarifa ambazo zilidai uchunguzi wa awali unaelekea au zilikuwa zinaonyesha njama za kuchafua taswira ya Serikali ya Hayati Raisi.
Na Uchunguzi na Taarifa za Awali za upande unaodai Hayati Raisi na magenge yake ndio walikuwa wahusika wakuu. kwa sababu lukuki kama kuondolewa kwa CCTV cameras
Joka kuu, Umezusha Umaarufu na Wadhifa wa Mh.Lissu.
Tunajua kuna nadharia au taswira iliojengeka kuwa ni Hayati Raisi ndio "Maagizo ya Juu' na Aliyetandikwa Risasi ni Mh. Lissu. Kwa mantiki hiyo kuna watu wawili al Maaruf watu wawili al wadhif
Tofauti mmoja ni Raisi wa Nchi na Mwingine kama ulivyoeleza ni Chief Whip! Kati ya hawa watu, mmoja sio mtu mdogo katika masuala ya "Taifa" kama ilivyo kwa mwngine ambaye ni mkubwa kwa masuala ya " Kibunge" Nafikiri tunaweza afikiana kuwa al maaruf na al wadhif mmoja ana wadhifa mkubwa...ni wa Taifa. na Mwngine ni wa Kibunge Hawa hawalindwi na 'Polisi' wa kawaida
Hivyo basi, hata siku moja, katika taifa lelote lile haitoweza tokea mmoja asilindwe kwa nguvu zote nesesari andi avaelebo! hamna na ndio ukweli mchungu.
Polisi hao unaodai wewe hawana uwezo wa kujibu maswali yako, wenye majibu hayo unawajua tusipotoshane, haunipotoshi. Usipotoshe
Je unajua kuna polisi wa Kanda Maalum? na hizo ni kanda gani? Zina Umaalum gani? Kanda zinahama?
1. Kama parking ilikuwa imejaa wenye magari walikuwa wapi? Kikawaida kungekuwa na mayoress na watu wengi.
2. Alienda lunch, kwa nini wenzie hawakwenda lunch? Na hayo magari kujaa yangejaa vipi kama wenyewe hawakuenda lunch?
3. Walinzi wa parking walikuwa wapi? Walijuaje kama atakuja lunch siku hiyo? Walinzi wa hao wenye magsri yaliyojaa walikuwa wapi?
4. Kwa nini wauaji risasi 16 wakuvunje miguu, si wangepiga tumbo au kichwa?
5. Mlinzi hakukimbia alisema alilala kwenye kiti chake ambako ndiko risasi ziltokea. Aliponaje? Yuko wapi?
6. Uhusiano wa Tundu na majirani ulikuwaje wasimsaidie hadi leo, kikawaida husaidiana kwenye Iddi na Ubatizo na maziko. Tundu alikuwa adui wa kila mtu?
Siipendi chadema ila wewe ni mtu wa ovyo kama vijana wa chadema una uccm sana akilini mwako kuliko uzalendoUnajua utaalamu wangu au unanichukulia juujuu siyo? Tuheshimiane sawa
Kweli kuna maswali mengi tu Wananchi wanataka wajuzwe. Shauku ni kubwa. iwe ni kutoka Serikalini- Polisi, na vyombo vingine, au kutoka kwa Mh. Tundu Lissu ambaye mwenyewe alishatoaga kauli na kusema "anayo mengi" atujuze
Sasa kwa avile hili ni suala nyeti(kuna uchunguzi) haina maana haliwezi kujadiliwa humu, walakini kuwa wenye kufanya uchunguzi watakaa pembeni nanlabda kulokota machache yanaoweza kuwasaidia kwa kifikra au kwa vielelezo ambavyo havipatikani sehemu nyingine...
Pili, wale wanaoendeleza kudai kila kukicha wanamjua 'muuaji' basi wasilalame kuona kuna Wananchi walio na shauku ya kujua Ukweli? Yaaani nani anasema Ukweli
Tumechoka, tumechoka kuona Familia zikiumizwa kila kukicha kwa visingizio visivyo na kichwa au miguuu...iwe ni Familia zinazohusishwa na kuyafanya hayo mauaji au Familia zinazokisia, kudhani zimefanyiwa hayo mauaji...udhalimu.
kwakweli....
Hivi kweli ...kiunagaubaga ....umiminiwe 16 zote ziwe za miguuni? alisikika mwanaharakati mmoja
Mnakumbuka kuhusu ' wale hawakoseagi'? au Tunajizima ufahamu?
Kieleweke Kitaeleweka.