Watu wengine mna roho za ajabu sana. Yaani unaona sawa kuchagua muuaji Lakini sio victims wa hao wauaji?
Naona na wewe umechagua upande. na Ukome kunimezesha maneno.
Atleast we are squared on that.
Hata hivyo.... ukinisoma vizuri, sehemu nyingi, sisi wote, Jamii ya Mtanzania, Jamii ya Mwafrika. Jamii ya JF na hata Familia Zote, waliopotezwa, waliojipoteza, Wanaodaiwa kuua wanadai wameuliwa na.. n.k n.k wote ni Victims. Wanahujumiwa haki, wanabezwa na ku-kabehiwa if that is the word!...Victims of Circa-of-Stances.
Hawawezi kupata afueni kwa matusi na Udhalimu unaofanywa na upande wowote ule.
Hakuna,
Hakuna atayefufuka, Hakuna atakaye tokwa na risasi mwilini , basically hakuna miujiza itakayotokea. Ukweli ni kuwa, Ukweli Ujulikane.
Si waunde Tume yenye watalaam wa nje na ndani na kuchunguza hii issue?
Hayo uliyobandika juu ndio wanayodai wahusika. Nyuma au kwenye mabandiko yangu mengine nimegusia kuhusu hilo.
Tunajua tume kama hizo ni za Kufunika funika. Mfano mzuri ni tume ya Tutu. Yaani kuna jamii zilizoumizwa kisaikolojia, kifiziolojia kwa uhasama mkubwa, kuna waliopata ulemavu, kuna wengine waliokufa kwa magonjwa ya kipindupindu....Cha ajabu wahusika walikuwa wa Serikali, Cha ajabu wengi walipata maagizo kutoka juu, cha ajabu kuna mengi yaliongelewa chobisi kwa sababu za 'usalama wa taifa' cha ajabu wengi wao hawakupata hata nusu ya thamani ya udhalimu wao..yaani vifungo stahiki, yaani kuna wengi walitakiwa kunyongwa.
Nakubaliana na Tume lakini wale wote, yaani wote waliotengeneza mazingira, waliohusika n.k wafikishwe mahakamani....kusiwepo na yale ya kutofikishwa Mahakamani.