Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

Shida ni kuwa lisu atakua karuka maelezo au gari ya lisu ilipo park, ilikuwa imekaa kiubavu,, hao jamaa itakua waligeuza gari iangalie ilipotokea ili iwe faster kukimbia baada ya tukio,,
It means, gari ya lisu ilipaki ikawa upande alikokaa lisu ndo uko opposite na gari ya maharamia😆
 
..Lissu amesema risasi zilipigwa " AT AN ANGLE " kuelekea upande wake.

..Hakukuwa na nafasi ya kuegesha gari lakini haimaanishi hakukuwa na nafasi ya washambulia kulenga alipokuwa amekaa Lissu.
Tungeona wapi risasi zilipenya kwenye gari, nyuma ,mbele, pembeni:kulia,kushoto
Madirisha....kumbuka risasi huwa zinaruka tuu na uwepo wa risasi kugonga seheme nyingine mbali ya mlengwa(target) upo
Je, Zipo? Kuna wangalau picha toka magazetini?
..Haiwezekani kumtambua mtu anayekutupia marisasi. Kitendo cha kwanza kitakuwa ni kuepa au kujikinga na risasi hizo.
...a very good point....kuna ukinzani na kauli za wengi
..Nafasi ya kuwatambua ingekuwa kabla ya kumshambulia, au kama watu hao wangekwenda na kuzungumza na Lissu kabla ya kumshambulia.
Kuna madai kuwa alifuatiliwa fuatiliwa kabla ya tukio? Aidha yalikuwa maneno yake au ya wale waliokuwa na dokezi za "being tailed"
..Dereva ameshawahi kuhojiwa na vyombo vya habari. Polisi wanaweza kumhoji wakishirikiana na Polisi wa Ubelgiji.
Wabeligiji wanahusika vipi na tukio ambalo halijatokea Nchini mwao au kutokea kwa raia wake?

...au unataka kudai Vyombo vyetu vya Usalama hawana uwezo wa Kuhoji na kufanya uchunguzi kwenye tukio kama hilo la mashambulizi?

What are you insunuating?
 
..Lissu ameumizwa mwili mzima.

..miguu yote iliumizwa kwa risasi. pia mikono yote na tumboni kulikuwa na risasi.

..mguu wa kulia risasi ilivunja goti ndio maana ulemavu uko upande huo.

..hapa chini utaona video Lissu akielezea majeraha yake, ukisikiliza utaona mkono wa kushoto una ulemavu kuliko wa kulia.

Tuwekeeeni picha za Lissu akiwa na mashati ya mikono mifupi!
 
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao

Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Lissu

MASWALI
1. Je risasi zilipigwa kutoka nyuma yake ?
2. Mbona gari lake lilionekana kuwa risasi zilikuwazimepigwa ubavuni. Kama niko sahihi hii iliwezekana vipi wakati hakukuwa na nafasi ya wao kuegesha gari hapo? Maana yake ni kuwa nafasi kati ya gari na gari kwenye maegesho isIngeweza kumfanya mpigaji atumie bunduki kwa usahihi mpaka asogee karibu sana na hii ingemfanya amtambue aliyemshambulia.
3. Kwa nini dreva wake kama mtu aliyekuwa kwenye tukio anamzuia asitoe maelezo yake?
Vipi, umeanza uchunguzi wa tukio mwenyewe; kwa nini usiende kumhoji Tundu Lissu maswali hayo, halafu utuletee mrejesho hapa?

Hii habari ya kuweka viswali vya ajabu ajabu hapa tutakusaidiaje sisi?
 
Tuwekeeeni picha za Lissu akiwa na mashati ya mikono mifupi!

..Nadhani VIDEO inaonyesha vizuri zaidi kuliko picha.

..Na katika video hapa chini inaonekana mkono wa kushoto haukunjuki wakati wa kulia unakunjuka.

..pia mguu wa kulia risasi ilivuruga goti ndio maana unaona ana ulemavu wa kulia, au mguu wa kulia umeumia kuliko mguu wa kushoto.

..usiangalie risasi imepigwa toka upande gani. angalia risasi imeumiza kiungo gani na eneo gani.

Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao

Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Lissu

MASWALI
1. Je risasi zilipigwa kutoka nyuma yake ?
2. Mbona gari lake lilionekana kuwa risasi zilikuwazimepigwa ubavuni. Kama niko sahihi hii iliwezekana vipi wakati hakukuwa na nafasi ya wao kuegesha gari hapo? Maana yake ni kuwa nafasi kati ya gari na gari kwenye maegesho isIngeweza kumfanya mpigaji atumie bunduki kwa usahihi mpaka asogee karibu sana na hii ingemfanya amtambue aliyemshambulia.
3. Kwa nini dreva wake kama mtu aliyekuwa kwenye tukio anamzuia asitoe maelezo yake?
Haki lazima itafutwe na hatasalia yeyote aliyehusika na kuumizwa na kuuwawa kwa watanzania awamu ile ya kishenzi.
 
Tungeona wapi risasi zilipenya kwenye gari, nyuma ,mbele, pembeni:kulia,kushoto
Madirisha....kumbuka risasi huwa zinaruka tuu na uwepo wa risasi kugonga seheme nyingine mbali ya mlengwa(target) upo
Je, Zipo? Kuna wangalau picha toka magazetini?

...a very good point....kuna ukinzani na kauli za wengi

Kuna madai kuwa alifuatiliwa fuatiliwa kabla ya tukio? Aidha yalikuwa maneno yake au ya wale waliokuwa na dokezi za "being tailed"

Wabeligiji wanahusika vipi na tukio ambalo halijatokea Nchini mwao au kutokea kwa raia wake?

...au unataka kudai Vyombo vyetu vya Usalama hawana uwezo wa Kuhoji na kufanya uchunguzi kwenye tukio kama hilo la mashambulizi?

What are you insunuating?
..picha za gari la Lissu ziko nyingi katika mitandao na moja wapo ni hii hapa.

IMG-20170907-WA0031.jpg

..shahidi au mhalifu anapovuka mipaka ya nchi tukio lilipotokea kuna taratibu za kufuata kupata ushahidi wake, au kumkamata na kumrudisha anakohitajika.

..kwasababu dereva wa Lissu yuko Ubelgiji ndio maana nikasema Polisi wa Tanzania wanaweza kuwataka Polisi wa Ubelgiji wamhoji dereva huyo kuhusu tukio la shambulizi la Lissu.

..kama Polisi wa Tanzania wanaamini dereva amehusika na ana kesi ya kujibu wanaweza kutoa hati ya kumtafuta dereva huyo na atakamatwa na vyombo vya Ubelgiji na kurudishwa Tanzania kwa msaada wa Interpol.
 
Mleta mada ni wazi wewe sio mtaalamu wa kupeleleza jambo hili na maswali unayouliza yanaweza hata yasiulizwe na mtaalamu wa uchunguzi. Jaribu kushughulika na mambo uliyo na uwezo nayo!!
Unadumaza
Vijana wa nchi hii tutadharauliwa kwa ujumla wetu kumbe dharau ilipaswa kuelekezwa kwako tu.
Unadumaza, na Kudharau.
Unapindisha kutaka kufunika.
Basically, you are Insulting our Intelligence.

Wacha Vijana wachambue na kufanya utafiti wanavyojua wao kufanya. Hizo protokali ndizo zinatufanya tuwe na shauku: mara uchunguzi upo polisi-Upande mwingine unadai hakuna uchunguzi wowote, sasa vijana wakianziasha namna, au jinsi tofauti na yale ya kawaida...mnaanza kuwadumaza.
Nina uhakika unajua kuwa kuna podcast nchi za magharibi ambazo zimeweza kutatua kesi nyingi za mauaji huko....na podcasti hizo nyingi ni za vijana wadogo na wasio na taaluma za kichunguzi..

be fair or be squared.
 
..pia gari la Lissu liko kwenye yard ya RPC wa Dodoma.

..vijana mnaotafuta ukweli mnaweza kwenda huko na kuangalia.

..lakini msisahau CCTV records zilizokuwa eneo la tukio kwani hizo ndio funga kazi.

..halafu pia mhakikishe mnampata mhusika aliyeondoa walinzi eneo la tukio awaeleze aliagizwa na nani.
 
Nakuheshimu lakini sidhani unajua hilo. Una assumptions nyingi katika jambo hili ndio maana nimesema wewe haiwezekani ukawa mtaalamu. Ukiwa ni lawyer, ni bush lawyer tu!! Moja ya assumptions - kuwa amlete dereva ili ahojiwe. Una chochote kinachoonesha anamzuia dereva asitoe maelezo?? Lakini dereva huyo atoe maelezo wapi? kwako au Polisi? Na ndio niliposema je kuna jalada la uchunguzi liko wazi?? Nikamalizia kwa jambo unalokwepa kuzungumzia - Lissu huyu hapa. Kamata na fungua jalada ili maswali yako pamoja na mengine yajibiwe.

Kama ilivo ada, mnapokuwa challenged huwa mnakimbilia "tuheshimiane". Vumilia tu!! Umeleta mada hii hapa - acha ijadiliwe. Swala la kuheshimiwa utaliinjoy vizuri katika mazingira unayodhibiti. Hapa humdhibiti mtu na bila kukukosea heshima, utapambana na hoja. Acha vitisho!!
Angekuwa ni mtu wa kuelewa, angeelewa ulichomjibu hapa; lakini huyo anajulikana wazi kwamba ni mmoja wa watu wasioweza kuelewa wanapoambiwa ukweli, kwa sababu tayari anayo ajenda anayoisimamia katika swala husika. HANA 'OPEN MIND'. Hawezi kuelewa chochote nje ya aanachotaka kusikia.
 
..picha za gari la Lissu ziko nyingi katika mitandao na moja wapo ni hii hapa.

IMG-20170907-WA0031.jpg

..shahidi au mhalifu anapovuka mipaka ya nchi tukio lilipotokea kuna taratibu za kufuata kupata ushahidi wake, au kumkamata na kumrudisha anakohitajika.
Je tunaweza kutamka hapa jamvini kwa Uhakika kuwa hayo hayajafuatiliwa na Vyombo husika?

DPP, Wizara ya Sheria,Wizara ya mambo ya Nje n.k can we ascertain that? Where is the Disconnect? nani mkaidi?
..kwasababu dereva wa Lissu yuko Ubelgiji ndio maana nikasema Polisi wa Tanzania wanaweza kuwataka Polisi wa Ubelgiji wamhoji dereva huyo kuhusu tukio la shambulizi la Lissu.
Ikiwa na maana hata kuomba akamatwe! sasa tukirudi juu na kuuliza nani mkaidi hapa? Serikali yetu, Polisi wetu, Serikali ya Ubeligiji au Polisi wao. Protokali imevunjika wapi na Kwanini?
..kama Polisi wa Tanzania wanaamini dereva amehusika na ana kesi ya kujibu wanaweza kutoa hati ya kumtafuta dereva huyo na atakamatwa na vyombo vya Ubelgiji na kurudishwa Tanzania kwa msaada wa Interpol.
Where is the Disconnect?

Ni nani haswa wenye ukaidi. Je katika kabrasha za kuomba viza huko walidai wamekimbia nchi kwa nini? Je ushahidi wa "tulirushiwa risasi" zinatosha kuwapatia visa huko?

Mkuu naelewa fika huna majibu yote, lakini ukweli unabakia pale kwenye Mada. Kuna maswali mengi ambayo yeye TL na Serikali au watu anaowatuhumu/washutumu ndio wenye majibu.

Nafikiri tunaweza afikiana kila pande zinataka majibu/muafaka ile Nchi iendelee, Jamii ziendelee, Familia ziendelee. Hatuwezi kuendelea kwenye chaka la kutupiana vijembe kwa kudai Udhalimu au Makosa yametokea upande mmoja, na cha kusikitisha "yamefanywa na mtu mmoja"....

Mazingira yalijengwa pande zote. Sababu za utetezi kuhusu kwanini mazingira hayo yalitokea in the first place and or....they are open to Speculate...kwa kweli Kuna Ulazimu wa kuyafunika. Ulazimu huo ni Ukweli kupatikana kabla ya 2025 hatuwezi kuwachagua watu ambao bado wana vinyongo na usasi.
 
Nakuheshimu lakini sidhani unajua hilo. Una assumptions nyingi katika jambo hili ndio maana nimesema wewe haiwezekani ukawa mtaalamu. Ukiwa ni lawyer, ni bush lawyer tu!! Moja ya assumptions - kuwa amlete dereva ili ahojiwe. Una chochote kinachoonesha anamzuia dereva asitoe maelezo?? Lakini dereva huyo atoe maelezo wapi? kwako au Polisi? Na ndio niliposema je kuna jalada la uchunguzi liko wazi?? Nikamalizia kwa jambo unalokwepa kuzungumzia - Lissu huyu hapa. Kamata na fungua jalada ili maswali yako pamoja na mengine yajibiwe.

Kama ilivo ada, mnapokuwa challenged huwa mnakimbilia "tuheshimiane". Vumilia tu!! Umeleta mada hii hapa - acha ijadiliwe. Swala la kuheshimiwa utaliinjoy vizuri katika mazingira unayodhibiti. Hapa humdhibiti mtu na bila kukukosea heshima, utapambana na hoja. Acha vitisho!!
Mkuu unamfunza adabu huyu jamaa kiutu uzima sana
 
..pia gari la Lissu liko kwenye yard ya RPC wa Dodoma.

..vijana mnaotafuta ukweli mnaweza kwenda huko na kuangalia.
Hayo juu naafikiana na wewe 100% kama tu wana acces.
..lakini msisahau CCTV records zilizokuwa eneo la tukio kwani hizo ndio funga kazi.

Kuna mawili hapo. Kama kweli inavyodaiwa ati zilichomolewa, basi upande mmoja unaweza kuwa na ushahidi wa kuwa, walioonekana wakifanya shambulizi hilo sio wakwao au wanaficha walioonekana ni wa kwao na hivyo kuwa impicate

I think its fair to say hatujui, na tuka assume waliofanya hilo shambulizi hawakuwa Professionaly trained. it was a sloppy job according to one side of the argument na Upande mwingine kudai it was a well planed execution....which just dont add up.... ndio maswali ya kwenye mada hii yanayatafuta?

Hivi kama walikuwa ni watatu au wanne au kumi wote wangekuwa na silaha aina moja? au ilikuwa AK au Uzi..au Ka beretta 22? which we know have different rates of firing, different bullets, sizes length and or width....etc etc. Now in quick glance of the Pic can you ascertain it was a 9mm, with high calbre weapon e.g AK or Small pistol au Uzi or whatever it may have been used?
..halafu pia mhakikishe mnampata mhusika aliyeondoa walinzi eneo la tukio awaeleze aliagizwa na nani.
Haya ndio tunayo tafutia uchambuzi. Hayo ya kutoka juu yanawezwa kudaiwa na yeyote yule. Je kama Mwenyewe(mtoa maagizo) hayupo kukubali au kukataa nani anafaidika na Uchochezi huo? Wanang'ang'ania hapo tu!
I think mada bado ina miguu ya kusimama na Kudai yanayodaiwa....TL aseme ukweil
 
Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS
Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke, wakasubiri na wao

Mmoja akatoka siti ya nyuma akaamia mbele upande wa abiria wakazungumza akarudi ndani akafunga mlango ghafla akafungua yeye, akafungua mwingine wanamashine hapo wakaachia" - Lissu

MASWALI
1. Je risasi zilipigwa kutoka nyuma yake ?
2. Mbona gari lake lilionekana kuwa risasi zilikuwazimepigwa ubavuni. Kama niko sahihi hii iliwezekana vipi wakati hakukuwa na nafasi ya wao kuegesha gari hapo? Maana yake ni kuwa nafasi kati ya gari na gari kwenye maegesho isIngeweza kumfanya mpigaji atumie bunduki kwa usahihi mpaka asogee karibu sana na hii ingemfanya amtambue aliyemshambulia.
3. Kwa nini dreva wake kama mtu aliyekuwa kwenye tukio anamzuia asitoe maelezo yake?
Hivi Ume sikiliza maelezo ya Lissu?

Risasi zilipigwa pembeni angle ya 45. Kus Ingelikuwa na magari risasi zingepigwa angle 90 degrees ya usawa wa gari.
 
Je tunaweza kutamka hapa jamvini kwa Uhakika kuwa hayo hayajafuatiliwa na Vyombo husika?

DPP, Wizara ya Sheria,Wizara ya mambo ya Nje n.k can we ascertain that? Where is the Disconnect? nani mkaidi?

Ikiwa na maana hata kuomba akamatwe! sasa tukirudi juu na kuuliza nani mkaidi hapa? Serikali yetu, Polisi wetu, Serikali ya Ubeligiji au Polisi wao. Protokali imevunjika wapi na Kwanini?

Where is the Disconnect?

Ni nani haswa wenye ukaidi. Je katika kabrasha za kuomba viza huko walidai wamekimbia nchi kwa nini? Je ushahidi wa "tulirushiwa risasi" zinatosha kuwapatia visa huko?

Mkuu naelewa fika huna majibu yote, lakini ukweli unabakia pale kwenye Mada. Kuna maswali mengi ambayo yeye TL na Serikali au watu anaowatuhumu/washutumu ndio wenye majibu.

Nafikiri tunaweza afikiana kila pande zinataka majibu/muafaka ile Nchi iendelee, Jamii ziendelee, Familia ziendelee. Hatuwezi kuendelea kwenye chaka la kutupiana vijembe kwa kudai Udhalimu au Makosa yametokea upande mmoja, na cha kusikitisha "yamefanywa na mtu mmoja"....

Mazingira yalijengwa pande zote. Sababu za utetezi kuhusu kwanini mazingira hayo yalitokea in the first place and or....they are open to Speculate...kwa kweli Kuna Ulazimu wa kuyafunika. Ulazimu huo ni Ukweli kupatikana kabla ya 2025 hatuwezi kuwachagua watu ambao bado wana vinyongo na usasi.

..hoja ya kwanini mguu wa kulia umeumia kuliko wa kushoto tumeishaelewana? Is it closed and off the table?

..Kuna taarifa kwamba familia ya Lissu iliandika barua kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumtaka aombe msaada wa vyombo vya nje visaidie ktk uchunguzi wa tukio la Lissu lakini inasemekana serikali ilikataa.

..Natamani waandishi makini wamuombe Lissu atolee ufafanuzi suala hilo.

..Kuhusu suala la dereva na Lissu kuhojiwa mimi nadhani tatizo liko kwa serikali na jeshi la Polisi.

..Hivi inaingia akilini kwamba blogger JOHN MARWA, na kipindi cha CLOUDS 360, wameweza kumhoji Lissu kwa masaa kadhaa, lakini POLISI wanaodai wanamtafuta kwa miaka 5 sasa hawajaweza kumhoji? Does that make any sense to you?

..Mimi kwa mtizamo wangu Polisi wetu wameonyesha uzembe wa hali ya juu kuhusu tukio hilo. Naweza kusema wameonyesha KUTOKUJALI.

..Naungana na wewe kwamba ni lazima ukweli ujulikane haraka iwezekanavyo, na hususan kabla ya 2025.

..Umesema tusichague watu wenye vinyongo na visasi, mimi nadhani tusichague watu wenye roho za kikatili na wanaoshabikia Watanzania kuumizwa.
 
Hayo juu naafikiana na wewe 100% kama tu wana acces.

Kuna mawili hapo. Kama kweli inavyodaiwa ati zilichomolewa, basi upande mmoja unaweza kuwa na ushahidi wa kuwa, walioonekana wakifanya shambulizi hilo sio wakwao au wanaficha walioonekana ni wa kwao na hivyo kuwa impicate

I think its fair to say hatujui, na tuka assume waliofanya hilo shambulizi hawakuwa Professionaly trained. it was a sloppy job according to one side of the argument na Upande mwingine kudai it was a well planed execution....which just dont add up.... ndio maswali ya kwenye mada hii yanayatafuta?

Hivi kama walikuwa ni watatu au wanne au kumi wote wangekuwa na silaha aina moja? au ilikuwa AK au Uzi..au Ka beretta 22? which we know have different rates of firing, different bullets, sizes length and or width....etc etc. Now in quick glance of the Pic can you ascertain it was a 9mm, with high calbre weapon e.g AK or Small pistol au Uzi or whatever it may have been used?

Haya ndio tunayo tafutia uchambuzi. Hayo ya kutoka juu yanawezwa kudaiwa na yeyote yule. Je kama Mwenyewe(mtoa maagizo) hayupo kukubali au kukataa nani anafaidika na Uchochezi huo? Wanang'ang'ania hapo tu!
I think mada bado ina miguu ya kusimama na Kudai yanayodaiwa....TL aseme ukweil
Watu wengine mna roho za ajabu sana. Yaani unaona sawa kuchagua muuaji Lakini sio victims wa hao wauaji?

Si waunde Tume yenye watalaam wa nje na ndani na kuchunguza hii issue?
 
Mie siyo wewe; wewe na yeye mko na akili moja ya kuchafua na kuendelea kuchafua watu
Mkiambiea ukweli Eti anachafua Watu huyo mnaemtetea ni Muuaji mkubwa hata wewe unajua akipigwa risasi baba yako sijui kama ungeandika mavi kama haya kamsaidie huyo mnayemtetea huko aliko anahangaika na Toba
 
Hopeless kabisa!

Kama wewe ulikuwa mmoja wa hao wauaji au msaidizi wa huo uovu, usipime upepo. Kuna siku msiyoijua wote mtasimama mbele ya vyombo huru vya kisheria, kujibia uovu wenu.

Maelezo ya kina yalikwishatolewa, na yapo katika kumbukumbu. Mtoa amri anafahamike. Yeye hukumu yake ipo mbinguni. Bashite aliyesimamia operation akiwa Dodoma Hotel, yupo. Kisanduku, mfyatuaji wa risasi amefungwa kule Mtwara kwa uovu mwingine. Msjmamizi mkuu wa kikosi, Nyaulingo alikwishakufa kwa ajali ya gari alipokuwa akitokea Bagamoyo. Lakini bado wapo wengine waliohusika, na wapo mitaani, huenda qewe ni miongoni.
Kwa kifupi unadai. Case Closed!

Nafikiri utakuwa haumtendei haki T.L ambaye anawezekana ana taarifa nyingi zaidi.Temeke alisema huwa anatembea na kabrasha zenye Taarifa nyingi tu.

Atueleze, let him volunteer the information to the Police.

...na sasa ukimsikia vizuri, toka Temeke na kwingine anapoongea anajikomba kwao!

Ipo siku, tutajua, its just not soon enough!
 
Back
Top Bottom