Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?


Sio kweli, na naamini hata ww utampigia Rais wetu kura ifikapo Oct 2020, sbb maendeleo mnaona kwa macho sio kuhadithiwa tena. Ujue binadamu haridhiki hata umfanyie nn, tukiweka ukweli mbele na kuacha uongo, Mh. Magufuli kafanya makubwa sana hilo ukibisha ni sbb zako binafsi na chuki zako tu, ila ukweli unaonekana.

Hivyo namuombea kura kwako na naamini utampa ili aendelee kufanya makubwa ya maendeleo sio siasa za maneno matupu.. Hivi mna macho nyie kweli?
 
as long as Jiwe utawala wake unahusishwa na mauaji, utekaji, kufungwa watu kwa hila, maiti za sandarusi coco beach, kubambikiwa watu kesi, kuminya uhur wa habari, kuminya haki za wafanyakazi.... etc etc etc, hata angeligawa mabilioni kwa kila mwananchi, SIWEZI KUMPA KURA.
NAHITAJI KUWA FREE... NAHITAJI UHURU WANGU! CRYING FOR FREEDOM

 
Na yule aliyepiga marufku mikutano ya ndani na nje ya vyama vya upinzani hakuvunja sheria na kanuni za uchaguzi?
Au ulikuwa umelala?
 
Dhaima ya Uzi wako ni kuchochoea Lissu akatwe na NEC.. Sasa umenoa
 
Tundulisu Hajateuliwa na NEC kugombea nafasi Urais, Hadi Sasa anaongea Kama mwwnanchi tu wa kawaida
 


Umeandika bila kutafakari, mbona kwa miaka 5 yote Rais Magufuli amekuwa akifanya kampeni!!!--- mtu wa kwanza kukatwa anapaswa awe Rais Magufuli.
 
"Ameanza kampeni mapema"
 
Mwanasheria nguli yule anajua anachokifanya.
 
Nyie si mmeongea miaka 5, je mna jipya la kuwaeleza watanzania, wacheni na wenzenu waongee.... Kampeni zinaanza 26th stay turned... !
 
Aisee, tafakari ya mwenye hekima atang'amua kiongozi sahihi.
 
Mtahangaika sana. Hakuna kampeni hapo. Ni sawa tu na mgombea wa CCM anapowaambia watu wa Dumila kuwa tawajengea vibanda vya biashara! Kwa sasa muda wa kusema unafanya kampeni kabla ya muda haujafika kwa kuwa bado hawajapitishwa na NEC kuwa wagombea!
 

Wanaita ngoma inogile.
 
Ndugu, tuungane ili kuutokomeza utawala huu wa MABAVU, utawala usio na uchungu wa maisha ya watu wake. Utawala ambao uko tayari kupoteza raia wema na kushambulia wengine kwa mvua za risasi tena mchana kweupe kwa tamaa na uroho wa madaraka..

Utawala ambao umewatelekeza vijana na kuwaacha wengi wao wakiwa MASIKINI WA KUTUPWA kwa ukosefu wa ajira, sera mbovu za kilimo, ufugaji na ujasiriamali..

Utawala amabao umewagawa Watanzania kwa itikadi za Vyama na kujenga chuki baina yao, kujenga matabaka ya WACHACHE KUFURAHIA MEMA NA KEKI YA TAIFA kama akina Bashite na wengineo..

MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA....
 

Attachments

  • Makonda ajitangaza mla raha namba moja duniani..mp4
    857.8 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…