Tundu Lissu: Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa iwiane na idadi ya raia wanaowakilisha

"Denial" of what?

I am simply stating the obvious, your line of argument makes no sense.
Mbona una makasiriko? JF ni kisiwa cha mijadala, ukiona yakwangu haikufai au haikufurahishi just skip them. Naona unaleta shari bila sababu. Ungeweza kutoa mawazo yako au jibu hoja za wengine.
Naheshimu sana hii mada ndio maana sitaki kuvuka mstari unaotaka nivuke.
 
Sina makasiriko yoyote.
Na kwa vile JF ni "kisiwa" kama unavyokiita, basi ni haki yangu pia kutolea maoni kwa takataka ninazokutana nazo, au unasemaje?
 
Naheshimu sana hii mada ndio maana sitaki kuvuka mstari unaotaka nivuke.
EeeenHeeeee!
Huna mstari wowote wa kuvuka, ndiyo maana.

Ungeheshimu hii mada usingeweka mambo ya ajabu kama hayo unayoweka kwenye mada yenyewe.

Siku si nyingi zilizopita nilikuuliza, kama kweli wewe ndiye 'Lusungo', naona hukumbuki.
Kama ndiye, basi kuna jambo limekupata hivi karibuni.
 
Una lingine?
 
Siku nyingine muwe mnabaki kwenye zile nyuzi zenu za kula tunda kimasihara na connection huku si size yako.
Naona hunijui.
Nimo humu siku nyingi sana. Pitia tu ujikumbushe ninakosimamia.
 
1 Sept 2020

How Maps Help Politicians Stay In Power


Both Democrats and Republicans are raising millions of dollars this election cycle to flip state legislatures and have an advantage in redistricting come 2021. Redistricting is the process mandated by the constitution to ensure fair representation as the population changes. When abused, this is called gerrymandering. These gerrymandered maps can discriminate on the basis of party, race or other pieces of identity politics. Watch the video to find out how gerrymandering works and why one expert called it "the biggest and boldest investment in modern American politics."

Source : CNBC
 
Kiongozi hizo takwimu za Marekani umezitoa wapi? Katiba ya Marekani ina umri wa miaka 235 na sio zaidi ya 270 kama ulivyoandika. Ilitengenezwa mwaka 1787.

Idadi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni 438 na sio 450 uliyotaja.
 
Kuanzisha mikoa na wilaya mpya au kubadilisha mipaka ya majimbo ya uchaguzi ya ubunge na udiwani, ni mbinu ya chama kongwe kubaki madarakani ?

 
Ramani ikionesha mikoa mipya ya Simiyu, Geita, Katavi, Njombe, Songwe na ule mpya unaopigiwa chapuo mkoa wa Chato uanzishwe.

Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?

 

..ukubwa wa eneo na idadi ya watu ndio vigezo pekee ambavyo vitaweka mfumo wa haki.

..uki-consider mambo kama kabila, tamaduni,...hutakuwa na mfumo au utaratibu ambao uko uniform.

..lakini hapa Tz kuna majimbo ambayo yalianzishwa mahsusi kwa ajili ya vigogo fulani ktk serikali ya Ccm.

..Yaani jimbo linagawanywa ili kumpa fursa kigogo ashinde uchaguzi. Bila kugawa jimbo mtu wao hawezi shinda.
 
Idadi ya watu, jiografia na mawasiliano ndio vigezo ndio. Mkoa wa Dar wenye wapigakura 3M+ ni mdogo kieneo kuliko wilaya ya Rufiji au Ulanga. Kusema tu idadi ya watu iamue kwakua mbunge hawakilishi milima au ng'ombe kwa mujibu wa Lissu si sawa.

Hayo mengine ya kubeba watu ni ishu nyingine maana tatizo la usimamizi na utekelezaji wa sheria ni kansa kwa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…