white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Bwana yule alikuwa katili sana!!ila MUNGU FUNDI.Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.