white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Bwana yule alikuwa katili sana!!ila MUNGU FUNDI.Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Lissu anadhani ni kitu rahisi kwenda kumhoji mtu nchi ya mwezio tena utumie vyombo vya dola vya nchi yako?Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata...
Wasiojulikana utawajua tu kwa vitendo na kauli zao.Yahatuhusu.
Tuna mengi yakufanya .
Wanajuana wao kwa wao
Mungu fundi sana kamuua muuajiHaya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Hata kupelekwa Nairobi, kuna wakubwa walipenyeza siri kwa Mbowe juu ya mpango uliokuwa umepangwa. Wakashauri asipelekwe Muhimbili.Taarifa zingekua zinavuja kirahisi hivyo asingetoka ile siku aliyoshambuliwa
MATAGA kwisha habari yakoYahatuhusu.
Tuna mengi yakufanya .
Wanajuana wao kwa wao
Yako mengi na hoja lukuki ambazo WanaJf wangependa kusikia kutoka kwako zinazohusu "operations" za hicho chama ili zijadiliwe kwa maslahi mapana ya Taifa.Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Wasiojulikana utawajua tu kwa vitendo na kauli zao.
Angalia ulichoandika we boya.Yahatuhusu.
Tuna mengi yakufanya .
Wanajuana wao kwa wao
Maiti haiongei..hapa naomba niwe upande wa hayati
Kamanda amechelewa sn kuongea hili,anayemtuhumu hawezi kujitetea
Una ushahidi?Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Umeniwahi!IGP Sirro angekuwa na busara angekaa kimya.
Nimeshaelewa point yako..Lakini unadhani kila mmoja ni mwanasiasa humu?