Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

..kwa kweli wangempandisha ndege kuja Dsm halafu muhimbili au mzena watu wangeimba parapanda na kula ubwabwa.

Kuna mijamaa ina maumivu makubwa sana kwamba huyu bwana yu hai na kwamba kama Mbowe wangali wamesimama imara.
 
Mkuu muuaji atoe amri ya uchunguzi ambao ungeweza kabisa kumtia hatiani? Bashite atakuwa atakuwa anayajua mengi sana kuhusu shambulizi lile, kupotea kwa Azory na Saanane, kutekwa kwa Roma na wenzie na maovu mengi ya kutisha.

..hivi kuna mahali popote Magufuli alitoa amri uchunguzi wa tukio la Lissu ufanyike?

..tukio kubwa kama lile nilitegemea Magufuli awe mkali na aamrishe uchunguzi kamili na wa haraka.
 
Kuna mijamaa ina maumivu makubwa sana kwamba huyu bwana yu hai na kwamba kama Mbowe wangali wamesimama imara.

..Lissu angepanda ndege toka Dom kuja Dar mimi ningewahisha mahema ya msiba kijijini kwao ikungi.

..Mbowe alicheza kama " messi " kuhakikisha jamaa anapelekwa nairobi.

..Na Katibu Mkuu wizara ya afya ashukuriwe kwa kusimama upande wa Mbowe na familia.
 
Usikonde mkuu tathmini hazina proprietary rights. Au vipi?
 

Waliona mbali sana. Kwa sababu hiyo kuna mijamaa haitakaa imalize bifu na Mbowe.

Iko kama mifisi iliyopokonywa minofu mdomoni.
 
Cha ajabu izraeli katambaa naye Mara tu baada ya huo uchaguzi. That president was a real devil
 
Baada ya hapo katibu mkuu akapewa ubarozi na kunangwa juu
 
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata...
Risasi zilipigwa upande wa kushoto zikaumiza upande wa kulia,hii ni zaidi ya sanaaa
 
ndio maana mamia kwa maelfu ya watz tunafurahia kwa kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…