Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

..kwa kweli wangempandisha ndege kuja Dsm halafu muhimbili au mzena watu wangeimba parapanda na kula ubwabwa.

Kuna mijamaa ina maumivu makubwa sana kwamba huyu bwana yu hai na kwamba kama Mbowe wangali wamesimama imara.
 
Mkuu muuaji atoe amri ya uchunguzi ambao ungeweza kabisa kumtia hatiani? Bashite atakuwa atakuwa anayajua mengi sana kuhusu shambulizi lile, kupotea kwa Azory na Saanane, kutekwa kwa Roma na wenzie na maovu mengi ya kutisha.

..hivi kuna mahali popote Magufuli alitoa amri uchunguzi wa tukio la Lissu ufanyike?

..tukio kubwa kama lile nilitegemea Magufuli awe mkali na aamrishe uchunguzi kamili na wa haraka.
 
Kuna mijamaa ina maumivu makubwa sana kwamba huyu bwana yu hai na kwamba kama Mbowe wangali wamesimama imara.

..Lissu angepanda ndege toka Dom kuja Dar mimi ningewahisha mahema ya msiba kijijini kwao ikungi.

..Mbowe alicheza kama " messi " kuhakikisha jamaa anapelekwa nairobi.

..Na Katibu Mkuu wizara ya afya ashukuriwe kwa kusimama upande wa Mbowe na familia.
 
Mkuu km unataka tushindane km unavyofanyaga na hao wengine basi hapa umekosea njia..Mimi sihusiki na bavicha wala uviccm..kiufupi sinaga shobo wala kutetea wanasiasa

Alafu Acha shobo za kuingia profiles za watu unascreen short kisha unakuja kumwanika hapa,nimekuona mara kadhaa ukiwafanyia watu hicho kitu na sasa hivi imenifanya Mimi mwenyewe
CC Moderator
Usikonde mkuu tathmini hazina proprietary rights. Au vipi?
 
..Lissu angepanda ndege toka Dom kuja Dar mimi ningewahisha mahema ya msiba kijijini kwao ikungi.

..Mbowe alicheza kama " messi " kuhakikisha jamaa anapelekwa nairobi.

..Na Katibu Mkuu wizara ya afya ashukuriwe kwa kusimama upande wa Mbowe na familia.

Waliona mbali sana. Kwa sababu hiyo kuna mijamaa haitakaa imalize bifu na Mbowe.

Iko kama mifisi iliyopokonywa minofu mdomoni.
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Cha ajabu izraeli katambaa naye Mara tu baada ya huo uchaguzi. That president was a real devil
 
..Lissu angepanda ndege toka Dom kuja Dar mimi ningewahisha mahema ya msiba kijijini kwao ikungi.

..Mbowe alicheza kama " messi " kuhakikisha jamaa anapelekwa nairobi.

..Na Katibu Mkuu wizara ya afya ashukuriwe kwa kusimama upande wa Mbowe na familia.
Baada ya hapo katibu mkuu akapewa ubarozi na kunangwa juu
 
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata...
Risasi zilipigwa upande wa kushoto zikaumiza upande wa kulia,hii ni zaidi ya sanaaa
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
ndio maana mamia kwa maelfu ya watz tunafurahia kwa kifo chake.
 
Back
Top Bottom