Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Hii issue Sirro anaijua na anajifanya kama haijui, ni kheri akae kimya maana ataumbuka.
Kabisa...

Polisi kwenye hili ni bora tu wakae kimya. Hawana hoja za maana.

Wamekazana uchunguzi lazima wamuhoji, swali ni je angekufa wasingefanya uchunguzi? Mbona Dk Mvungi alikufa na waliofanya mauaji walikamatwa, walimuhoji wapi Dk mvungi?
 
Uchuguzi mpaka usubiri CHADEMA na wanaharakati washinikize? polisi siku hizi wanafanya kazi kwa mashinikizo na siyo taratibu na sheria?

Hata USA kwenye sheria na katiba bora watu waliandamana kuishinikiza serikali juu ya "justice for floyd".. Ukumbuke serikali zinaongozwa na binadamu na binadamu ndio wanashiriki kwenye matendo machafu, kama hao binadamu ndani ya serikali walishiriki kwenye issue ya TL unafikiri watafanya uchunguzi bila kupata shinikizo?
 
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
Huwa najiuliza huyu alipata vp uanasheria?? Nnaushaur t pamoja na tiba anayopewa apimwe na akil pia huenda kunatatzo kdg kwenye ubongo wake
 
Hata USA kwenye sheria na katiba bora watu waliandamana kuishinikiza serikali juu ya "justice for floyd".. Ukumbuke serikali zinaongozwa na binadamu na binadamu ndio wanashiriki kwenye matendo machafu, kama hao binadamu ndani ya serikali walishiriki kwenye issue ya TL unafikiri watafanya uchunguzi bila kupata shinikizo?
USA kuandamana ni haki ya msingi, huku unaruhusiwa kuandamana kupongeza ujinga lakini ukiandamana kudai haki unapotezwa mazima.
 
Pole sana kwa wazazi wako kuzaa mapooza.
Namuhurumia sana mama yako kupoteza usichana wake kukunyonyesha wewe..!!
 
Anachoshangaza Lisu ni kuwa hata huyu Rais aliyepo sasa bado anamtukana, then mtu unaweza kujiuliza dhamira yake ni nini?
Lini amemtukana? Yataje hayo matusi. Dhalim kawarithisha upumbavu kuwa mtu akikosolewa yeye anaita matusi au uchochezi.
 
Hii movie ya jamaa ikikaribia kuisha anaitafutia muendelezo.

Tafadhali wahusika naomba msimpe jamaa gia ya kufufua jambo lake Kila mara.
Nyie ndiyo wale design ya wanaopenda dhulma ...............!!
 
Hili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.
Mwendazake hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuondoka aiache nchi salama. Halafu, unaweza ukafikiri una nguvu sana kumuumiza mtu fulani ukidhani yeye hana nguvu hizo kumbe ukawahiwa wewe
 
Huyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
hapo atakuwa kakesha anauchezea ub...o...o...o wa amstedarm kaamaka ana weweseka kaja kutoa uharoo huku jf
 
Hivi mimi na washangaa chadema wanaposema Mungu fundi sijui aliwaondolea magufuli ina maana Mungu yupo upande wa chadema peke yao na ukiwa chadema ndio kifo hakikuhusu
 
Back
Top Bottom