pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Inaonekanai ulizaliwa ktk uhuni, unaishi ktk uhuni na utafia ktk uhuni.Huyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekanai ulizaliwa ktk uhuni, unaishi ktk uhuni na utafia ktk uhuni.Huyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
Kabisa...Hii issue Sirro anaijua na anajifanya kama haijui, ni kheri akae kimya maana ataumbuka.
Uchuguzi mpaka usubiri CHADEMA na wanaharakati washinikize? polisi siku hizi wanafanya kazi kwa mashinikizo na siyo taratibu na sheria?
Huwa najiuliza huyu alipata vp uanasheria?? Nnaushaur t pamoja na tiba anayopewa apimwe na akil pia huenda kunatatzo kdg kwenye ubongo wake'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
USA kuandamana ni haki ya msingi, huku unaruhusiwa kuandamana kupongeza ujinga lakini ukiandamana kudai haki unapotezwa mazima.Hata USA kwenye sheria na katiba bora watu waliandamana kuishinikiza serikali juu ya "justice for floyd".. Ukumbuke serikali zinaongozwa na binadamu na binadamu ndio wanashiriki kwenye matendo machafu, kama hao binadamu ndani ya serikali walishiriki kwenye issue ya TL unafikiri watafanya uchunguzi bila kupata shinikizo?
Nenda na wewe ukanywe.Huyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
Wewe junya hujui kitu, Lissu alikuwa anamjibu Sirro aliyekuwa anasema uongo wa mchana kweupe.Hili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.
Wewe ni ombaomba unayetumia njia yako ya haja kubwa kuombaLisu ni ombaomba anayetumia vidonda vyake kuomba
Lini amemtukana? Yataje hayo matusi. Dhalim kawarithisha upumbavu kuwa mtu akikosolewa yeye anaita matusi au uchochezi.Anachoshangaza Lisu ni kuwa hata huyu Rais aliyepo sasa bado anamtukana, then mtu unaweza kujiuliza dhamira yake ni nini?
Afadhari ya hao ,wewe ni kibovyaHili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.
Huna lolote na wewe nyumbu tu unasapoti uwongo na uzushi wa huyo omba omba wa nchi za mabeberu anaetumia vidonda vyake kuombaNdiyo ukweli
Nyie ndiyo wale design ya wanaopenda dhulma ...............!!Hii movie ya jamaa ikikaribia kuisha anaitafutia muendelezo.
Tafadhali wahusika naomba msimpe jamaa gia ya kufufua jambo lake Kila mara.
Vaa viatu Vya lissu na tafakari ungekuwa ni wewe umetendewa aliyotendewa!!!!! Ungefanya nini?
Kwa hiyo na nyie vifo haviwahusu sioHata Ndugai ni suala la muda tu
Mwendazake hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuondoka aiache nchi salama. Halafu, unaweza ukafikiri una nguvu sana kumuumiza mtu fulani ukidhani yeye hana nguvu hizo kumbe ukawahiwa weweHili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.
Sema nimezichoka na siyo tumezichoka, wewe na nani?Sasa si akaishi huko huko? Ngonjera na kiki zake tumezichoka
SIRO ANAHUSIKAJE HAPO ACHENI USE.........NGEHii issue Sirro anaijua na anajifanya kama haijui, ni kheri akae kimya maana ataumbuka.
hapo atakuwa kakesha anauchezea ub...o...o...o wa amstedarm kaamaka ana weweseka kaja kutoa uharoo huku jfHuyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
Tutakufa kwa heshima zoteKwa hiyo na nyie vifo haviwahusu sio