Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema

Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini

Ngoja tumsikie.

Fuatilia live hapa

View: https://www.youtube.com/watch?v=J254F4V0YWE

Hii thread ipo titled kama live coverage ya Lissu akiingia ofisini, lakini badala yake hatuoni live zaidi ya pumba za watu wenye maralia na waliostaafu...
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Umepaniki sana. Bado huamini? Nenda kaishi na mbowe awe mwenyekiti wa mahusiano yenu🤣
 
Mbowe ni Mfanyabiashara hakunaga jambo kalifanya Chadema Kwa hasara 😂😂
UPO SAHIHI. HILI WENGI HAWANA UPEO WA KULIELEWA. MBOWE NI KAMA MHINDI ANAIFADHILI TEAM KWEUPE ANAKULA MATUNDA YA TEAM GIZANI. HAKUNA MFANYABIASHARA ANAFANYA JAMBO KWA HASARA. NA USIMWAMINI HATA AKISEMA ANAENDESHA TEAM KWA HASARA.
 
Yes, its time to hit the ground for new reforms!! Hakuna mabadikiko ya katiba & sheria za uchaguzi - Hakuna uchaguzi 2025.
Muda ni mchache mambo mengi.

Best wishes - wananchi tupo pamoja na ninyi.
 
Back
Top Bottom