Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Kichwa cha habari chahusika.

Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.

Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.

Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.

Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.

In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
 
Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
 
Safi kamanda, ww huwa si mnafiki watu kama Boni na Heche, wanahitajika kupewa uongozi pale CDM.
 
Yaan mkuu, weee humu uko active kuwajuza wanaCDM yakwao, kuliko hata wanaopaswa kufanya ivo.
Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !

Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
 
Kwa kweli, Mwenyekiti Mbowe amepoa sana, Katibu Mkuu ndio amelala kabisa usingizi, Idara ya Habari Kimnya na habari wanazotoa ni vipande vipande tu kama tetesi hazina maelezo na way forward. Yaani wanaripoti kama uzishi tu wala hakuna muelekeo wanachukua hatua gani.

Yani hata pale uenevu wa wazi unatokea, utaona tu ka tweet mtu anasema fulani katekwa au kakamatwa ili asirudishe fomu. Sasa? Mnafanyaje? Hamna mtu wa kuchukua hatua. Yaani wamegeuza Tweeter kama ndio kipaza sauti chao cha mwisho. Tungetegemea kuona viongozi wapo moto zaidi kukemea na kuchukua hatua stahiki lakini viongozi wa juu wapo kimnya mno.
 
Kwakweli ,ngoja mpaka kesho jion km alivyosema mkuu Lissu.

Baada ya hapo hii idara haipaswi kuwepo kama hawatafanya mabadiliko.

Haiwezekani chama kichanga km ACT Kiwe makini kihabari kushinda CDM.
 
Kwa kweli, Mwenyekiti Mbowe amepoa sana, Katibu Mkuu ndio amelala kabisa usingizi, Idara ya Habari Kimnya na habari wanazotoa ni vipande vipande tu kama tetesi hazina maelezo na way forward. Yaani wanaripoti kama uzishi tu wala hakuna muelekeo wanachukua hatua gani.

Yani hata pale uenevu wa wazi unatokea, utaona tu ka tweet mtu anasema fulani katekwa au kakamatwa ili asirudishe fomu. Sasa? Mnafanyaje? Hamna mtu wa kuchukua hatua. Yaani wamegeuza Tweeter kama ndio kipaza sauti chao cha mwisho. Tungetegemea kuona viongozi wapo moto zaidi kukemea na kuchukua hatua stahiki lakini viongozi wa juu wapo kimnya mno.
Wajumbe mmemuangusha Mwenyekiti, chaguo alikuwa Nyalandu
 
Makene mwenyewe hana morale na hiyo kazi tena baada ya mkewe kukihama chama na kudai kudhalilishwa na Mwamba

Ni dhiki tu inamfanya aendelee kuwepo huko otherwise angesha-"left" group kitambo
 
Chama ambacho kabla hakijashika Dola tu kinafanya Mambo ya hovyo hovyo hapa mpaka wenyewe wanakiri kuwa wanafanya Mambo ya hovyo hovyo,

Tuwape Dola ya nini??
 
Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Hakuna kitu kama hicho hiki chama Mbowe amekipambania kutoka ground, hata huyu Lisu tunayemkubali anekuwa moulded na Mbowe.

Tusitake kuvurugana humu, pasipo Mbowe hiki chama kingekuwa sasa hakipo, kuhusu Katibu huyu Kapwaya tena sana.

Mengine tuache tu lkn kuna walakini kwa ndani, nikama tumepoteana
 
Back
Top Bottom