Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

sijui wamepatwa na nini..

hata Benson kigaila.. naona kama kapoa sana.. Salum Mwalimu naye kapoa vile vile..

kwa sasa CHADEMA imekuwa kama one man Show... ni TAL ndio ana trend..

ila all in all CHADEMA ipo mioyoni mwa watu
Lisu hana fedha, hao uliowataja walimtaka Nyalandu!
 
To begin with, chama makini kinakuwa na idara makini. Aliyesema CDM ni saccos hajawahi kukosea. Hata idara ya habari ya timu ya mpira inaweza kuliko hawa. Labda wamwombe Manara awasaidie, ingawa hata yeye hatakubali kushirikiana na kundi la wahuni.
 
Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Mengi uliyosema ni sahihi isipokuwa kwa Mnyika.
Naomba tumpe muda huyu mdau ingawa muda wenyewe upo finyu sana.
 
Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !

Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
Wazee kweli leo mmechefukwaa...?! Poleni sana, mlikua mnaangalia madhaifu ya watu wa nje ya chama chenu ya ndani mkayasahau. Matokeo yake watu wenu wakabweteka kwasababu wamezoea hakuna wa kuwanyooshea vidole hata pale wanapokosea. Hata wakinyooshewa vidole wapo watu wanaowacover kwa kuwatetea. Na hili ndo tatizo sugu lililopo CHADEMA hampendi kuelezana ukweli.

Mkiingo'a Idara ya habari mtakua mnawaonea bure tu. Jiulizeni ni kwa kiasi gani chama kinawawezesha kutekeleza mipango yao. Kama chama kimefanya wajibu wake ipasavyo, hapo mnayo haki ya kuwatimua. Vinginevyo, tatizo litakua linaanzia kwenye uongozi wa juu wa chama.

Leo CHADEMA mmeonesha udhaifu kwenye maeneo mengi tu siyo Idara ya habari peke yake. Poor Campaign Strategy na hii inatokana na ukosefu wa rasilimali fedha. Hata mgombea awe anakubalika vp lakini lazima awe na uwezo wa kifedha ili kuwafikia wapiga kura wake. Kampeni zinaanza leo eti mgombea nae ndo anaanza kuomba achangiwe fedha za kampeni seriously? CHADEMA hakikutakiwa kuwa chama cha kuombaomba, kwasabbu kinapokea ruzuku kila mwezi. Wabunge pia walikua wanachangia fedha kila mwezi. Uchaguzi siyo jambo la kustukiza, ni jambo linalojulikana. Kwahiyo, wangeweza kujipanga kwenye mambo mengi tu ikiwemo hili la kuwa na media zake n.k.

Tulipokua tunapiga kelele kuhusu Mbowe, wengi mlitushambulia sana. Leo mnayaona sasa. Pamoja na fedha zote ambazo chama ilikua inakusanya lakini cha kushangaza leo hakina fedha za kampeni. Jiulizeni fedha hizo zote zimeenda wapi? Matokeo yake mnataka kuanza kuwaajibisha watu wasiokua na hatia. Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa, baadhi ya maeneo mkashindwa kuyafikia na kufanya kampeni. Mwenyekiti anayajua yote haya, ndo maana alikua anapenda wagombea wenye uwezo wa kifedha, ili wawe wanamfichia udhaifu huu. Lakini mwaka huu, amezidiwa nguvu na gia ya angani imegoma.

Hili ni anguko lenu kubwa ambalo hamkulitarajia. Tutarijie kuona madhaifu mengi sana zaidi ya haya kwenye mikutano yenu ijayo. POLENI SANA.
 
Hakuna kitu kama hicho hiki chama Mbowe amekipambania kutoka ground, hata huyu Lisu tunayemkubali anekuwa moulded na Mbowe.

Tusitake kuvurugana humu, pasipo Mbowe hiki chama kingekuwa sasa hakipo, kuhusu Katibu huyu Kapwaya tena sana.

Mengine tuache tu lkn kuna walakini kwa ndani, nikama tumepoteana
Ni kweli Mkuu Mbowe amekipambania sana hiki chama. Ndo maana tunasema ni vema akawaachia na wengine wakitoe alipokifikisha wakipeleke mbele zaidi.
 
CC:
CHADEMA
Tumaini Makene
Chadema Diaspora
Tafadhali chukueni hatua kuna baadhi ya hotuba za Lissu tunazikosa kwenye mtandao wa YouTube, au zinakuwa zimekatwakatwa sana badala ya full story.

Nadhani chadema online media ndiyo ingekuwa mainstream ya taarifa na hotuba za TAL hususani katika kipindi cha ukosefu wa Uhuru wa habari. Badala yake mnatufanya tusake huku na kule kwenye media zilizo censored.
Mkuu msijidanganye kuhusu uhuru wa vyombo vya habari. Media zinataka fedha. Kama hamna fedha msitegemee kupata coverage popote kule.
 
Wazee kweli leo mmechefukwaa...?! Poleni sana, mlikua mnaangalia madhaifu ya watu wa nje ya chama chenu ya ndani mkayasahau. Matokeo yake watu wenu wakabweteka kwasababu wamezoea hakuna wa kuwanyooshea vidole hata pale wanapokosea. Hata wakinyooshewa vidole wapo watu wanaowacover kwa kuwatetea. Na hili ndo tatizo sugu lililopo CHADEMA hampendi kuelezana ukweli.

Mkiingo'a Idara ya habari mtakua mnawaonea bure tu. Jiulizeni ni kwa kiasi gani chama kinawawezesha kutekeleza mipango yao. Kama chama kimefanya wajibu wake ipasavyo, hapo mnayo haki ya kuwatimua. Vinginevyo, tatizo litakua linaanzia kwenye uongozi wa juu wa chama.

Leo CHADEMA mmeonesha udhaifu kwenye maeneo mengi tu siyo Idara ya habari peke yake. Poor Campaign Strategy na hii inatokana na ukosefu wa rasilimali fedha. Hata mgombea awe anakubalika vp lakini lazima awe na uwezo wa kifedha ili kuwafikia wapiga kura wake. Kampeni zinaanza leo eti mgombea nae ndo anaanza kuomba achangiwe fedha za kampeni seriously? CHADEMA hakikutakiwa kuwa chama cha kuombaomba, kwasabbu kinapokea ruzuku kila mwezi. Wabunge pia walikua wanachangia fedha kila mwezi. Uchaguzi siyo jambo la kustukiza, ni jambo linalojulikana. Kwahiyo, wangeweza kujipanga kwenye mambo mengi tu ikiwemo hili la kuwa na media zake n.k.

Tulipokua tunapiga kelele kuhusu Mbowe, wengi mlitushambulia sana. Leo mnayaona sasa. Pamoja na fedha zote ambazo chama ilikua inakusanya lakini cha kushangaza leo hakina fedha za kampeni. Jiulizeni fedha hizo zote zimeenda wapi? Matokeo yake mnataka kuanza kuwaajibisha watu wasiokua na hatia. Hali hii ikiendelea kuna uwezekano mkubwa, baadhi ya maeneo mkashindwa kuyafikia na kufanya kampeni. Mwenyekiti anayajua yote haya, ndo maana alikua anapenda wagombea wenye uwezo wa kifedha, ili wawe wanamfichia udhaifu huu. Lakini mwaka huu, amezidiwa nguvu na gia ya angani imegoma.

Hili ni anguko lenu kubwa ambalo hamkulitarajia. Tutarijie kuona madhaifu mengi sana zaidi ya haya kwenye mikutano yenu ijayo. POLENI SANA.
sasa unalia nini ?
 
Sina shaka kuwa Mbowe kakipambania sana hiki chama, ila kwa sasa kafika mwisho. Na hiyo ni hali ya kawaida kuwa binadamu hufikia mwisho. Wakati ukuta.
Mkuu tindo Kuna statement kaitoa nape juzi," baada ya uchaguzi wakubwa wanakaa kukubaliana"
Sasa Kama Hali hii haitabadilika ndani ya CDM Ni dhahiri mbowe Ana makubaliano na wakubwa wenzie... Naishia hapo
 
Mwaka huu si wa Mwenyekiti kugombea ubunge Kuna tatizo kubwa la maslahi binafsi,

Namkubali mbowe lakini sometimes anaboa
 
Wagombea wameenguliwa nchi nzima kulikuwa na Haja gani ya kuzindua kampeni badala ya viongozi wote wa opposition kuweka kambi 24/7 Kwenye ofisi za NEC makao makuu kushinikiza wagombea ubunge na udiwani warudishwe?
 
Mkuu tindo Kuna statement kaitoa nape juzi," baada ya uchaguzi wakubwa wanakaa kukubaliana"
Sasa Kama Hali hii haitabadilika ndani ya CDM Ni dhahiri mbowe Ana makubaliano na wakubwa wenzie... Naishia hapo
Hakuna ukweli kwenye hilo
 
Naunga mkono hoja, timua wote pale idarani tuanze upya, tunahitaji watu active
Shida iko kwa huyomgombea wenuuu, kwa ushauli wanguu, chadema mlibugi saanaa kumpitisha huyoo jaamaa, yaani kampeni haweziiii, anazidiwa na enzi za lowasaa.

Mkiwatimua hao wakitengo cha habariii, mnawaonea tuuuu.
 
Makene mwenyewe hana morale na hiyo kazi tena baada ya mkewe kukihama chama na kudai kudhalilishwa na Mwamba

Ni dhiki tu inamfanya aendelee kuwepo huko otherwise angesha-"left" group kitambo
mkewe namjua akiwa bar maid meeda bar sinza ,makene kama yuko serious na yule mwanamke Mungu ambariki sana
 
Back
Top Bottom