Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

Kichwa cha habari chahusika.

Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.

Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.

Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.

Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.

In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Hiyo ya Chadema hana mamlaka nayo.
 
Human resource CHADEMA kwa sasa ni mtihani.

Huyu Tumaini Makene anafanya nini pale Mnyika yuko kimya as if siasa ni za kufanyia ofisini.

Where is Dr Marco's Albanie ?

Acha kabisa boss, kuna tatizo la dhahiri. Marcos Albanie alikuwa mtu sahihi kwa hiyo nafasi hiyo toka wakati ule alipoondoka Slaa na kupewa Mashinji.
 
Hili tatizo limelalamikiwa sana but tujiulize vyema

Unafikir wanapenda haya?? No rahisi sana kuongea ukiwa nje ila humo ndani hali ni tofauti sana.

Tukiongea hivi huyo ambaye ni chanzo cha tatizo atafahamika tu.
 
Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !

Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
Makene ana kinyongo baada ya kupata habari za kutafuniwa
 
Kichwa cha habari chahusika.

Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.

Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.

Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.

Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.

In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Hiyo idara ni kweli, inamhujumu mheshimiwa Rais Tundu Lisu.
 
Huna lolote mtumwa wa mbowe.
 
huu ni wakati ambao vyombo vyote vya habari vinafanya kazi kwa dhiki kuu
so far kumlaumu Tumaini Makene ni kujidai kuwa hamuioni hali inayoendelea nchini
 
Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Mnyika apumzike
 
Umeongea point sana kamanda!
Nakumbuka Zitto aliyasema wazi haya mara baada ya akina Mbowe na Lisu kukubali dili la Lowasa na kumtema Dr Slaa.
Nimeigoogle ile interview yake pale Azam TV sijafanikiwa.
Zitto alisema wazi kuwa kitendo cha akina Lisu na Mbowe kumtema Dr Slaa kwa ajili ya Lowasa kilikuwa ni suicidal kwa CHADEMA.
Alimuuliza Mhando amuoneshe mwenye akili aliyebaki pale ni nani?
 
Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
John Heche ndo alistahili kuwa mwenyekiti au katibu mkuu.Yuko committed sana na chama,ana utulivu wa kutosha lakini pia ni jasiri.
 
Kichwa cha habari chahusika.

Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.

Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.

Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.

Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.

In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Chadema Media TV inapost video kwenye YouTube yenye vichwa vya habari vyenye makosa ya hovyo, huku ikiwa imechelewa sana.
Ati Tundu Lissu ANAJIPANDA kupambana na mapingamizi, ....badala ya ANAJIPANGA.
Ati Tume ya Uchaguzi yampitisha TUNDI Lissu .... badala ya TUNDU Lissu.
Hizo "spelling mistakes" zinazosambazwa dunia nzima hazikubaliki.
Chadema Media TV ni aibu kwa Chadema na Taifa kwa ujumla
 
Kichwa cha habari chahusika.

Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.

Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.

Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.

Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.

In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Kaam hawawekezi Kwenye midia na resilimali watu unategemea miujiza watu wanatafuna kile ruzuku kwa watu wasiopungua 5
 
Back
Top Bottom