Yaan mkuu, weee humu uko active kuwajuza wanaCDM yakwao, kuliko hata wanaopaswa kufanya ivo.Naunga mkono hoja , timua wote pale idarani tuanze upya , tunahitaji watu active
Safi kamanda, ww huwa si mnafiki watu kama Boni na Heche, wanahitajika kupewa uongozi pale CDM.Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !Yaan mkuu, weee humu uko active kuwajuza wanaCDM yakwao, kuliko hata wanaopaswa kufanya ivo.
Cheka cheka lakini muda ukifika fisi watakuwa wakicheka huku wakitafuna mifupa ya mbavu zako (Umslopagas, 1947) [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha mara hiii tayari mmepoteana poleni hizo ndiyo Big match zinahitaji uzoefu
Kwakweli ,ngoja mpaka kesho jion km alivyosema mkuu Lissu.Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !
Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
Wajumbe mmemuangusha Mwenyekiti, chaguo alikuwa NyalanduKwa kweli, Mwenyekiti Mbowe amepoa sana, Katibu Mkuu ndio amelala kabisa usingizi, Idara ya Habari Kimnya na habari wanazotoa ni vipande vipande tu kama tetesi hazina maelezo na way forward. Yaani wanaripoti kama uzishi tu wala hakuna muelekeo wanachukua hatua gani.
Yani hata pale uenevu wa wazi unatokea, utaona tu ka tweet mtu anasema fulani katekwa au kakamatwa ili asirudishe fomu. Sasa? Mnafanyaje? Hamna mtu wa kuchukua hatua. Yaani wamegeuza Tweeter kama ndio kipaza sauti chao cha mwisho. Tungetegemea kuona viongozi wapo moto zaidi kukemea na kuchukua hatua stahiki lakini viongozi wa juu wapo kimnya mno.
Hakuna kitu kama hicho hiki chama Mbowe amekipambania kutoka ground, hata huyu Lisu tunayemkubali anekuwa moulded na Mbowe.Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.