Hiyo ya Chadema hana mamlaka nayo.Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Si ajabu ata desk la kufanyia KAZI Hana...Makene anakulaga pesa za bure pale Chadema.
Human resource CHADEMA kwa sasa ni mtihani.
Huyu Tumaini Makene anafanya nini pale Mnyika yuko kimya as if siasa ni za kufanyia ofisini.
Where is Dr Marco's Albanie ?
Asiyemtaka Mbowe aondoke yeye
Yaan mkuu, weee humu uko active kuwajuza wanaCDM yakwao, kuliko hata wanaopaswa kufanya ivo.
Hili tatizo limelalamikiwa sana but tujiulize vyema
Unafikir wanapenda haya?? No rahisi sana kuongea ukiwa nje ila humo ndani hali ni tofauti sana.
Mkuu wamekuengua nini?Naunga mkono hoja, timua wote pale idarani tuanze upya, tunahitaji watu active
Makene ana kinyongo baada ya kupata habari za kutafuniwaTutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !
Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
Hiyo idara ni kweli, inamhujumu mheshimiwa Rais Tundu Lisu.Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Hiyo idara ni kweli, inamhujumu mheshimiwa Rais Tundu Lisu.Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Huna lolote mtumwa wa mbowe.Tutahakikisha idara ya habari inang'olewa yote , ni wapuuzi sana na wako kama konokono , hatutaki ujinga kabisa , mleta uzi ni kama amechokoza nyuki , na kwa kweli kama kuanzia kesho hawajang''olewa patachimbika , sasa baaaasi !
Baadhi wananifahamu lakini Liwalo na liwe , hatutafuga ujinga
Kumbe kimbelembele JF baadala ya kuconcentrate na chamaNaunga mkono hoja, timua wote pale idarani tuanze upya, tunahitaji watu active
Sasa nayeye si aende akatafunwe.Makene ana kinyongo baada ya kupata habari za kutafuniwa
Mnyika apumzikeExactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Umeongea point sana kamanda!Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Na chadema digital (app) hamna update yoyote, sijui inakuwa managed na nani, mnatuangushaNaunga mkono hoja, timua wote pale idarani tuanze upya, tunahitaji watu active
John Heche ndo alistahili kuwa mwenyekiti au katibu mkuu.Yuko committed sana na chama,ana utulivu wa kutosha lakini pia ni jasiri.Exactly, haya malalamiko tumeyatoa sana humu, kwa sasa cdm hata kwenda kwenye media mbalimbali wamekuwa wazito. Niwe mkweli kabisa, Mbowe hakustahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa Cdm, ameshafikia mwisho wa mapambano, na Mnyika yuko below per, lile tatizo la Mashinji naona linaendelea. Mnyika toka Dr. Slaa ameondoka na yeye ameflop, kumpa ukatibu mkuu haikuwa sahihi. Huu udhaifu mwingine chamani unachangiwa na hizo nafasi mbili za juu.
Chadema Media TV inapost video kwenye YouTube yenye vichwa vya habari vyenye makosa ya hovyo, huku ikiwa imechelewa sana.Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short, these people need to wake up. Wanakiangusha chama na wanamuangusha mgombea Urais.
Kaam hawawekezi Kwenye midia na resilimali watu unategemea miujiza watu wanatafuna kile ruzuku kwa watu wasiopungua 5Kichwa cha habari chahusika.