Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia kwenda katika Ofisi za Wasimamizi wa Uchaguzi tarehe 26 kabla ya Uchaguzi ili kuepuka makosa ambayo yatafanya kupoteza sifa za kugombea kwani hakuna wakuwapiga wale wanaohitaji kuchukua fomu.