LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Lissu amewataka Watia nia kwenda katika Ofisi za Wasimamizi wa Uchaguzi tarehe 26 kabla ya Uchaguzi ili kuepuka makosa ambayo yatafanya kupoteza sifa za kugombea kwani hakuna wakuwapiga wale wanaohitaji kuchukua fomu.
Pia, Soma:
-->
Tundu Lissu ageuka Mbogo, CCM kuwabalagaza Uchaguzi uliopita Jimbo la Kibamba
--> Kwanini wanawake huwa hawaoneshi nia ya kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za mitaa?
 
Ni kweli alichosema Tundu Lissu, Kwa kuwa hao jamaa wa goli la mkono, hawakawii kupanga njama za figisu figisu
 
Back
Top Bottom