Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Ndio maana akatandikwa shaba ,yaan kauli isiyo na busara ,uhuni mtupu, kweli mhuni si wa kumzoea atakugeuka akishavuta majani yakeDaaa mama samia Kazi anayo tena ..!
Kama unahasira za haraka ,unaweza kuchukua chuma na kuwapeleka mbinguni bowe na Lissu ..
Hizo kauli ni za dharau ,mimi tu binadamu wa kawaida sina madaraka ukinambia hivo lazima nikuwashie moto ..
Sijui mama Samia huko anajisikiaje kuambiwa "magufuli wa kike"
aliyemtandika shaba Leo kalala silence chattle mabatini ndio akili zenu nyumbu wa Lumumba kutumia nguvu badala ya akiliNdio maana akatandikwa shaba ,yaan kauli isiyo na busara ,uhuni mtupu, kweli mhuni si wa kumzoea atakugeuka akishavuta majani yake
Babaako.Umbwa....
Ukiwa kiongozi , kubali tuDaaa mama samia Kazi anayo tena ..!
Kama unahasira za haraka ,unaweza kuchukua chuma na kuwapeleka mbinguni bowe na Lissu ..
Hizo kauli ni za dharau ,mimi tu binadamu wa kawaida sina madaraka ukinambia hivo lazima nikuwashie moto ..
Sijui mama Samia huko anajisikiaje kuambiwa "magufuli wa kike"
Kabla ya kuiondoa CCM madarakani umeisha andaa chama au watu wa kuweka hapo madarakani au ndio hawahawa kina Mbowe na Lissu?Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
democracyMkuu nani sasa?
Afanye hayo Ili wanasiasa mpate madaraka siyo 🤣
Mkuu Dr Dre huyo adui tunapambana naye kivipi na ninani anatuchelewesha kumuweka sawa?democracy
democracy inatufanya leo hii tunadhani adui yetu ni mwafrica mwenzetu,adui ni ccm? ni chadema ? . hapana. kuna msemo mmoja mkuu @bold aliandika "deception is state of mind and mind of the state", democracy is a deception.tunadhani Lisu na chadema watatufaa sana sisi watanzania zaidi ya ccm na watu wake ?jibu ni hapanaMkuu Dr Dre huyo adui tunapambana naye kivipi na ninani anatuchelewesha kumuweka sawa?
Watu wana poteza mda wao mwingi kufocus kwa mbowe na lissu. Badala ya ku focus kwenye vitu wanavoviona. Siku lissu na mbowe wakinyamaza hasira yao sijui wataipeleka wapi. Kwa sababu kama lissu anadai katiba mpya, mi sioni tatizo. Nilitegemea sasa wananchi waanze kujiuliza na ku reason kwenye katiba iliyopo kama inamapungufu. Lakini kitendo cha kuwa wakali chadema akiongea na kuwa wapole ccm wakiongea hata kama kitu ni kilekile huu unakua kama ushabiki wa simba na yanga.MATAGA wameanza kufufuka kama hivi
Kuwashambulia kina Mbowe na lissu..
Bado wanarudia siasa zilezile
Siyo kwa kizazi hiki.....labda mtutu keyboardTanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Thubutu, tangu Chadema walipowaunga mkono magaidi wa Kibiti sina hamu nao kabisa.hivi kweli chadema wanaweza kutawala nchi tukawa na amani
Walishangilia vifo vya watendaji wa serikali walipoongea bungeni, JWTZ walipojibu mapigo wakaanza kulialia.Thubutu, tangu Chadema walipowaunga mkono magaidi wa Kibiti sina hamu nao kabisa.
Lissu anafaidika na huruma ya halaiki baada ya kupelekewa miguu ya kuku kadhaa. Amepitia mateso mazito.Namuhurumia Lisu. Ndio kwisha habari yake kama Oska Kambona. Abakie tu hukohuko azoee kula kwa fadhila. Fadhila zikikata arudi taratiibu afungue ofisi ya kupiga mihuri afidavit za watu. Safari ya siasa kwake ni kama safari ya mwendawazimu, ya kurudi na makopo
Dawa tangu september 2017 sio mchezo. Lazima ubongo uvurugikiwe.Very stupid Lissu.. Very stupid
Imagine huyu ndio eti public figure wa Chadema. What a waste? Hana staha kabisa huyu jamaa
Kwani hao wakina Mbowe na lissu wakishambulia CCM ndio sahihi? Wakiguswa wao ni nongwa? Upinzani wa uoga namna hii haufahi ndani ya nchi yetu. Jenga hoja, jibu hoja... Siasa sio huruma ya mtu fulaniMATAGA wameanza kufufuka kama hivi
Kuwashambulia kina Mbowe na lissu..
Bado wanarudia siasa zilezile