Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

Mkuu ni sawa kwa maelezo yako, lakini demokrasi inachangiza sana kwenye mambo ya mtawala na mtawaliwa, ni kama msumeno vile; mtawaliwa ndie anayempa mtawala madaraka ya kutawala na namna ya kutawala, shida inakuja pale mtawala hataki kutawala kama alivyoelekezwa na kukubaliana na mtawaliwa. Watanzania walitaka Katiba Mpya na mawazo yao wakatoa, mtawala akakubali hoja za mtawaliwa na kuahidi kuweka katika maandishi lakini BADO Mtawala ANASITA kuweka katika maandishi, kwa nini??? TAFAKALI
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama vile umepaniki mkuu. Wanasema hakuna kitu bora kuliko uhai. Kwa hakika huwezi kumwelewa, kwa sababu uhai wako haujajaribiwa ilivokuwa kwake!

Nikukumbushe kitu. Nchi hii ni yetu sote!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama vile umepaniki mkuu. Wanasema hakuna kitu bora kuliko uhai. Kwa hakika huwezi kumwelewa, kwa sababu uhai wako haujajaribiwa ilivokuwa kwake!

Nikukumbushe kitu. Nchi hii ni yetu sote!
Kama alikimbia kuponya uhai wake anarudi kufanya nini sasa, au amehakikishiwa usalama wake? Si abaki huko huko.
 
Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
mtaji wa ccm ni mkubwa mno mpaka sasa. mtaji wa UJINGA WA KUTOJITAMBUA WATZ! adui yetu mkubwa ni ELIMU! wengi hawajui haki na wajibu wao. hii hali imeratibiwa kwa miaka mingi ikazalisha raia zombi weng kama tulivyo. mbaya zaidi lichama limeshakuwa kubwa mno na konki. hata chocho za kupatia support ya nje kutumia nguvu havipo, yan ukabila, ukanda, udini, usiasa na maliasili ya kuibwa. hakuna beberu wa kutumia njia ya silaha na vurugu wakat anaiba kias atakacho kwa mikataba halali.
wapinzani hatuna kwa sabab kuna mstari wa kudai mabadiliko hawana kifua kuuvuka.
(nguvu ya mwanasiasa ni watu nyuma yake na watu ndo hawa watz!). wapinzani wengine ni ccm nyuma ya pazia. mashujaa pekee waliopo ni jesh la mtandaoni. jeshi hewa!. ndo hasara ya kuwa na viongoz wa upinzan wasio wanajeshi.
tumaini pekee lililobaki ni ccm yenyewe wavurugane au wapewe maono mapya au wavurugane na jeshi kimasilahi.
tumain jingine ni kitendo cha kuanzishwa kwa shule za kata na utandawazi. imebaki muda tu ila ni bado sana!
Between two evils, ni heri ccm kujirekebisha kuliko aina hii ya wapinzani na upinzani tulio nao.
Ccm wakinipa fursa kuongeza nguvu nina mbinu 77 wakae madarakan milele kihalali na bila kelele za raia.
upinzani wakiniita mezan nina mbinu 99 wachukue nchi kwa jua au mvua na waaminike ndan na nje!
 
Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.
Hao akina mangi ndio tutajuta nchi itauzwa, huku tuliko acha kazi iendelee nchi inaenda kuwa tamu muda si mrefu ngoja tulipe kodi kwanza ya uzalendo.
 
Hanaga staha huyu....
Magufuli wa kike!! Haijakaa vizuri, kulikuwa na njia nyingi za kuwasilisha hoja.
sina tofauti na magufuli
Mama yetu alimanisha nn inakuaje kauli yake iwesahihi Ila lisu iwe haina staa

Hapa vyama vya upinzani viungane japokua ngumu viamue moja kauli uchwara zao hazitazaa matunda
 
Dr.Slaa hawezi kua na akili kama za lissu hata kidogo.Dr slaa anajielewa
 
Lissu alikuwa mbele ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…