Kuhamasisha wanaume kufanya ushoga ni akili kubwa??? Dah Na wewe unashangilia kabisaaaHuyo ni T.Lissu ...a.k.a Akili kubwa
Delicious alishtakiwa kwa kutuma Picha za ngono mtandaoni. Amber Rutty na Bahasha wake walishtakiwa kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Hyo kitu ili ile kwako uvujishe video ka kina amber rutty na james delicious wamehukumiwa 5 years Ila delicious kalipa fine kashatoka
Ndio nitajie kifunguunataka kujua kifungu ndipo uache au??
Kuna unaemjua na una ushahidi na umemreport akaachwa?Wameshapelekwa wangapi mkuu?
Delicious alishtakiwa kwa kutuma Picha za ngono mtandaoni. Amber Rutty na Bahasha wake walishtakiwa kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.Lisu alivyo mbwiga hajui hata kwa nini James Delicious na Amber ruty wamefungwa!
wakiwa huko faragha utajuaje wamefanya kinyume na maumbile?Katiba inalinda faragha lkn hairuhusu watu kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Bwana Lissu asijaribu kuinajisi katiba yetu kwamba inaruhusu ushoga.
Kwa hiyo unahamasisha kazi ya ushoga iendelee? Hizi akili Tundu alizowagawia zipo kwenye lile kundi la pili dahDelicious alishtakiwa kwa kutuma Picha za ngono mtandaoni. Amber Rutty na Bahasha wake walishtakiwa kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Amber Rutty ndo amehukumiwa na Bwana wake kwa makosa hayo Ila James Delicious amehukumiwa kwa kosa moja tu la kutuma Picha za ngono mtandaoni.James hajahukumiwa kwa kuwa shoga!!
Hakuna shoga yeyote aliyewai kukamatwa na kuhukumiwa kwa kuwa shoga na serikali ya CCM
Labda tuambie wewe unaelewa nini juu ya neno faragha?Kwani Neno falagha lililenga falagha za ushoga?
Faragha ni neno pana hata mazungumzo ni faragha, kuoga ni faragha, kujisaidia ni faraghahicho kifungu hakihusiani na mapenzi yake bana,asitafute ukuta wa kuegemea.
kifungu kiko wazi kabisa,serikali inaheshimu uhuru wa faragha.
maana ya neno faragha ni siri ya mhusika,tukiishajua sisi wengine sio faragha tena hiyo ni zahama.
Lisu wenu kasema hatawaingilia! Atawaacja mjivinjari mtakavyo si mtakuwa mko kwenye faragha?Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu wenu kasema hatawaingilia! Atawaacja mjivinjari mtakavyo si mtakuwa mko kwenye faragha?
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Kwa kusema ushoga ni suala la faragha hivyo atawaacha muendelee kujivinjari tuWalimuuliza ikabidi awajibie
Tumia lobe yako vizuri basi... Its all bout our Constitution if kuna sheria nyingine inavunjwa kuhusu hilo naomba uiweke hapaKwa kusema ushoga ni suala la faragha hivyo atawaacha muendelee kujivinjari tu