Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Jamaa ananyoka na Sheria; Kama kweli hamuutaki ushoga, badilisheni Sheria ya faragha! Mibongo mi mtu minafiki sana, si pale bungeni wabadili Sheria ya faragha basi?
Kwenye sheria humohumo hakuna kifungu kinachokataza mapenzi jinsia moja?
 
Back
Top Bottom