gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kwenye sheria humohumo hakuna kifungu kinachokataza mapenzi jinsia moja?Jamaa ananyoka na Sheria; Kama kweli hamuutaki ushoga, badilisheni Sheria ya faragha! Mibongo mi mtu minafiki sana, si pale bungeni wabadili Sheria ya faragha basi?