Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mbona suala la wananchi kuomba Babu Seya atolewe huzungumzii? mbona suala la wananchi kusherekea baada ya kutoka jela Babu Seya huzungumzii?..huwezi kukaribisha WALAWITI nyumbani kwako halafu ukasema unapinga uchafu huo.
..mwambieni mwenyekiti wenu ajitokeze na kuomba msamaha kwa kunajisi IKULU tuliyorithi toka kwa Baba wa Taifa.