Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

..huwezi kukaribisha WALAWITI nyumbani kwako halafu ukasema unapinga uchafu huo.

..mwambieni mwenyekiti wenu ajitokeze na kuomba msamaha kwa kunajisi IKULU tuliyorithi toka kwa Baba wa Taifa.
Mbona suala la wananchi kuomba Babu Seya atolewe huzungumzii? mbona suala la wananchi kusherekea baada ya kutoka jela Babu Seya huzungumzii?
 
Tafuteni point zingine hizi hadaa hamtaweza Tangu lini sisi CCM chini ya Samia mkapinga ushoga wazi wazi, CCM ya SSH imebariki ushoga pia
 
Yeah, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watu wanapoambiwa katiba inahitaji mabadiliko, hawataki
hiyo ni haki ya faragha-faragha haitoki nje ikishatoka siyo faragha
 
sheria in the name of the law- atakuwa sahihi tu katika jamii ya wanasheria siyo jamii ya kawaida- akagombee urais wa TLS

Kwa hiyo Sheria ni kwa ajili ya TLS wewe Mbwira?
 
sheria in the name of the law- atakuwa sahihi tu katika jamii ya wanasheria siyo jamii ya kawaida- akagombee urais wa TLS
Kwani tangu lini Tanzania ina sheria za jamii ya wanasheria na sheria za jamii ya kawaida? Hapo mchawi ni katiba tu.
 
Kwani tangu lini Tanzania ina sheria za jamii ya wanasheria na sheria za jamii ya kawaida? Hapo mchawi ni katiba tu.
Watu wa kawaida bado wapo na hawaishi kwa mjibu wa sheria- wanaishi kwa mjibu wa mila na desturi ambazo kwao ni sherai tosha
 
Mnatafuta namna ya kumchafua wakati katiba ndio tatizo na yeye kasimamia katiba inasema nini.
 
Mkuu kila mawada na muktadha na vionjo vyake; hata walioona kisheria hawalalani hadharani- tuheshimu mila na desturi zetu
Ili kuheshimu mila na desturi zetu, hilo linatakiwa lisipingane na katiba yetu. Katiba ipo juu ya mila na desturi, huwezi ukampiga mke wako ukasingizia ni mila na desturi, utaenda jela tu kwa kutumia sheria. Bila kubadilisha sheria, mashoga wakilambana chumbani hakuna wa kuwashtaki, hata kama yupo aliyewarekodi. Si ulimsikia kamanda wa polisi wa mkoa mmoja akisema kufumania sio kosa kisheria?
 
Kwa bahati mbaya kwa uelewa wangu nchi hii hakuna sheria ambayo chanzo chake ni mila na desturi zetu
 
Yaani kama ndo hizi hoja mnazileta kukabiliana na Tundu Lissu inabidi mkajipange upya.
 
Back
Top Bottom