Kwani unafikiri anahitajika na CDM, huyo ni boya la CCM wacha akwende. Tunataka mwendo wa kijani tu ndani ya bunge na nje ya bunge. Wengine wanachelewesha maendeleo.Halafu akihamia CCM watasema kanunuliwa
Jamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Comment yako umeipaka asali, ameilamba akaona tamu. Ameipenda kwa sababu haijamuudhi.Utajua ww.
Jamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Shida ya CHADEMA mlishakaririshwa kuwa upinzani ni kususa.2025 tunawafuta kabisa ni bora tubaki na mfumo wa chama kimoja kwa maslahi ya nchiHuyu bibie kama sio kununuliwa, ilikuwaje akaenda kwenye hafla ya kuapishwa Magufuli Dodoma ilhali inajulukana wazi huyu ndie mbakaji mkuu wa Demokrasia, utu, haki.nk katka nchi hii?
hii italeta contradiction huyo mdada ametangazwa tuu kwa maelekezo ila kiukweli hajashinda kuna wagombea wengi wa chadema wenishishinda ila hawajatanazwa, huyo dada alikuwepo bunge lililopita alionekana sio threat kwa chama cha majamabazi ndio wakaamua kumtangaza kuwa mshindi ingawaje kiukweli hajasinda ni mchezo mchafu tu umefanywaBusara ni kumuachia Aida aapishwe na kuwa mbunge kamili na kuendelea na kazi za kibunge, na chama kuendelea na msimamo wa kutokuutambua uchaguzi!
Umeongea point sana mkuu.Jamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Wabongo kwa kujiongeza mpo vizuriLengo lao limekamilika wameachia jimbo moja ili kuleta haya yanayotokea sasa.
Wekeni ushahidi hadharan Public iupime acheni visingizioUshahidi kwa mahakama zipi boss?
Ahadi moja wapo ni 'kulinda amani kwa gharama yeyote ile' kwa hiyo ukosefu wa internet ndio moja ya gharama yeyote ile
Kuwa na heshima dogo.Wewe ni kizazi cha Wanaume wavaa chupi
Yaani mtu apate kazi tena mshahara mnono asusie? Hampo serious nyie watuHuyu kama ataasi maamuzi ya chama chake ni bora afukuzwe uanachama ili abaki kua mbunge binafsi jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Tanzania.
Itakuwa ni ushenzi kufanya chochote kumzuia huyu mbunge kuingia bungeni.
Chadema acheni uchuro.Msimuhukumu kwa ajili ya interest zenu binafsi. Mwacheni atumikie wananchi waliomchagua
Wekeni ushahidi hadharan Public iupime acheni visingizio
Kwani kuna uchaguzi upi kwenye chaguzi za nyuma wapinzani waliwai kukiri ni uhuru na haki?
Lakini mbona waliingia bungeni chaguzi zote za nyuma ambazo pia azikuwa huru na haki kama kawaida yao wanavyodai marazote.
Shida ya chadema mlishakaririshwa kuwa upinzani ni kususa.2025 tunawafuta kabisa ni bora tubaki na mfumo wa chama kimoja kwa maslahi ya nchi