Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
2025 watashiriki tena kana kwamba wamesahau ya nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 watashiriki tena kana kwamba wamesahau ya nyuma.
inashangaza kuona hii nayo inakuwa ajenda. sijajua ubunge wa huyu binti unawakwazaje wao kupambana. wamwache naye aleMbunge pekee angekuwa Lema ama Mbowe mngemnyima nafasi hiyo ya kwenda kuwawakilisha wananchi waliomchagua?
Unaambiwa kwenye jimbo hilo kuna madiwani 10 wa chadema,kwa nn muwanyime watu haki yao ya kuwakilishwa?
Ukiacha uwakilishi kwa watu wake bado ubunge ni ajira,kwa nn anyimwe ajira aliyopewa na wapiga kura wake?
Naona ubinafsi mkubwa kwa viongozi wa chadema Taifa.
Vyama vya siasa navyo ni vidikteta fulani hivi
Kwani ule mpango mnao tena?Sasa si atahatarisha uhai wake? Au wajerumani watamsindikiza?
Tundu buana😀😀
akapewa na madiwani 10?Huyu mdada hakuchaguliwa na wananchi ila ni kwamba ametangazwa za msimamizi kwamba ameshinda.
Kwenye uchauzi huu watangaza matokeo walikuwa na maelekezo maalumu
Shenzi. NextJamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Wanatoa msimamo wa nini wakati mwenyewe kashasema hawezi kugoma kuapishwa, lazima aende kuapishwa?Jamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Ndiyo maana halisi ya nhumbu,[emoji23][emoji23][emoji23] they never recall any history of theirs! Na utawaona wanatamba Tena kuwa wataing'oa CCM madarakani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2025 watashiriki tena kana kwamba wamesahau ya nyuma.
Hata ningekua Mimi nisingesusia aisee.Yaani mtu apate kazi tena mshahara mnono asusie? Hampo serious nyie watu
Ok lakini haya pia mlilalamikia 2010,2015 mkasema mnaenda kushtaki The Hague inatofauti gani na huyu dada?
Acha analogy za kishogaJamaa wabinafsi sana
Lowassa 'alipoibiwa'kura hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Slaa 'alipoibiwa' kura wao hawakususa kwenda Bungeni kwa kuwa wao walipata Ubunge
Safari hii kwa kuwa wao binafsi 'wameibiwa' wanataka hata 'wasioibiwa' wasuse
Hana impact ,cha kufanya ni kumruhusu kwa baraka zote aende bungeni ila asiwe katika vikao vya juu vya chama.Apewe ushirikiano wa kutimiza kazi zake za kibunge bila kinyongo.Huyu kama ataasi maamuzi ya chama chake ni bora afukuzwe uanachama ili abaki kuwa mbunge, binafsi jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Tanzania.
Hizi akili za kimasaburi hizi.Mshindi angekuwa Joyce Mukya Busara hiyo ingetumika
Mbunge pekee angekuwa Lema ama Mbowe mngemnyima nafasi hiyo ya kwenda kuwawakilisha wananchi waliomchagua?
Unaambiwa kwenye jimbo hilo kuna madiwani 10 wa chadema,kwa nn muwanyime watu haki yao ya kuwakilishwa?
Ukiacha uwakilishi kwa watu wake bado ubunge ni ajira,kwa nn anyimwe ajira aliyopewa na wapiga kura wake?
Naona ubinafsi mkubwa kwa viongozi wa chadema Taifa.
Vyama vya siasa navyo ni vidikteta fulani hivi
Huyo binti hajitambui! Anachofuata hapo ni pesa tu! Na ajue kuwa amepitishwa si kwa "kushinda" kwa Imani ya CCM bali kupitishwa tuuu! Anaamini yeye ni bora kuliko wote ambao kura zao zilipokwa? Peke yake huko ataenda kutetea nini kama siyo kutumika na chama dola?
Sasa mema ya nchi ale pekeyake maana wananchi wake hawatapewa maendeleo hawamu hii.
Mkiniletea mtu wa chama kingine sileti maendeleo
Watamalizana wenyewe huko ndani ya chama chaoKwani ule mpango mnao tena?
Muulize umeshinda kwa aslimia zaidi ya 80,alafu bado unaihofia aslimia isiyozidi 20,na hapo Mana yake kwa wanaotumia mitandao ya kijamii idadi haizidi hata aslimia 10Si huwa mnasema watumia mitandao ni wachache, sasa ni kipi kinafanya mzuie social media kwa kundi dogo sana?
Yaani mtu apate kazi tena mshahara mnono asusie? Hampo serious nyie watu