Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Una mdhihaki Rais, kwani yeye anapenda kuua? ina maana anafurahia? kwanza anaumia sana na alisikikitika sana siku ya tukio, kwa yaliyompata Lissu! wewe ndo kwanza unamuongezea simanzi!Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wa Dunia, MArekaniPorojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tanzania baada ya Tanzania kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?
So, TL atapata escort ya delegates kutoka IPU wakati anarudi hapa nchini na itakuwa very soon? Nice move.
Naamini hapo ulinzi wake utakuwa wa kiwango cha juu sana.
Gaidi number moja!Kwahiyo huyo kama ni msaliti makonda yy aliye zuiwa kuingia marekani ninani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Boya hupotezewa, mpotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeNdiyo mawazo ya ma CCM yanapoishia kwenye ngono
Jamaa wenye Dunia yao wanakuja, kila kitu kitakuwa wazi.Upande mmoja tayari wamekusikia malalamiko yako tusubiri upande wa pili majibu yao ndo tupate balance ya maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hitler alipozidiwa na hatimae majeshi yake kushindwa, wa aina yako walikimbilia porini hasa kwenye misitu ya Amazon. Wapo waliojaribu kumkana, wengine kujificha mijini kwa kubadili sura na utambulisho walikamatwa na wengine kujiua kwa kukosa amani. Shetani hakuweza kumlinda mdhalimu mkuu wala kuwalinda vibaraka wake. AmenKaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi mlinganisha yesu na mambo ya hovyo, yesu alimtumikia mungu mwanzo mwisho, uliona anahangaika na mambo yenu ya kishilikina? Yesu hakutoa taarifa za mungu kwa shetani, ila huyo wenu anatafuta siri za serikari apeleke kwa kaizari.Tupo na ww TL...Mungu akaonekane kwa hili suala jamani!
Jembe lenu my butt! Go to hellKaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo wanakuja kusikiliza upande wa pili?
Haya yote kisa BASHITESerikali ilishakosea sana suala la Lissu toka mwanzo.
Sasa hivi wanasubiri kudeal na damages.
Tanzania imechafuka sana kwenye jumuiya za kimataifa.
Hakuna sehemu mazuri yanaongelewa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
IMEBAKIA MIEZI MICHACHE TUU BUNGE FAKE LIVUNJWE. SO MH. TUNDU LISSU HAITAJI HUO UBUNGE TENA. BUT IPU ITAM SIMAMIA APATE HAKI ZAKE ZA KIBUNGE KAMA ANAVYO STAHILO. UPO HAPO? MA CCM AKILI ZENU ZIPO TUMBONI BADALA YA KUWA KWA UBONGOEti IPU
Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?