Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Una mdhihaki Rais, kwani yeye anapenda kuua? ina maana anafurahia? kwanza anaumia sana na alisikikitika sana siku ya tukio, kwa yaliyompata Lissu! wewe ndo kwanza unamuongezea simanzi!Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jembe! kwani Rais anachomekwa mpini? usifanye mambo bila kufikiri! na umuombe radhi! kwa vile umepandishwa cheo kuwa ni mfuta vumbi wa Lumumba baasi! Acheni unafiki!
Akipelekwa ICC, wote nyie mtapotea! km siyo kugeuka! Stones anawajua mlivo wanafiki siku akiwafuta futa hapo ndiyo mtajua!