Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,

Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mdhihaki Rais, kwani yeye anapenda kuua? ina maana anafurahia? kwanza anaumia sana na alisikikitika sana siku ya tukio, kwa yaliyompata Lissu! wewe ndo kwanza unamuongezea simanzi!

Eti jembe! kwani Rais anachomekwa mpini? usifanye mambo bila kufikiri! na umuombe radhi! kwa vile umepandishwa cheo kuwa ni mfuta vumbi wa Lumumba baasi! Acheni unafiki!

Akipelekwa ICC, wote nyie mtapotea! km siyo kugeuka! Stones anawajua mlivo wanafiki siku akiwafuta futa hapo ndiyo mtajua!
 
Mdogomdogo tutaelewana tu....

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Porojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tanzania baada ya Tanzania kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?
Polisi wa Dunia, MArekani
 
So, TL atapata escort ya delegates kutoka IPU wakati anarudi hapa nchini na itakuwa very soon? Nice move.

Naamini hapo ulinzi wake utakuwa wa kiwango cha juu sana.

Na hii ndio itakuwa mtego mkubwa kwa serikali. Je serikali itazuia visas za delegation ili wasije na Lissu? Je serikali itakataa kumpokea Lissu tena nchini? Je delegation itakataliwa kufanya mazungumzo na serikali au Bunge au vyombo vingine vya serikali? Kwa ujumla point hii tu itafunua mambo mengi sana yasiyojulikana hata kwetu.

Dunia imeanza kutuangalia, na kwa jicho baya. Hii ni hali ya kusikitisha!!
 
Tunakoelekea kuna kila dalili kwamba kuna siku viongozi wetu wakubwa baadhi watakuja kushtakiwa kama sio mahakama za ndani basi ni mahakama za nje kwa uhalifu dhidi ya haki za binadamu.

Kama inavyo inavyoonekana kwa sasa kuwa tunatabia ya kutiana ujinga kwa support hata kwenye uhalifu kwa misingi ya ushabiki wa kisiasa jee yakiwafika mashtaka tutaendelea kuwaunga mkono ikiwemo kuandamana kuwatetea kwamba they are not guilt?

Au tutawatosa kama kina Kange Lugola tuliokuwa tunawaita majembe?
IMG_20200205_091213.jpeg
IMG_20200205_091219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Informer,
Tumesikia Boss! Lakini unadhani kuna wa-TZ wanaojali hayo unayojaribu kueleza? Ni mitandao tu ndugu ndo inajua nini unakifanya. Rudi nchini, rudi ujitoe muhanga, uitwe shujaa.

Tahadhari hizi zote ilistahili iwe ni sehemu ya maisha yako, bahati mbaya uliamini wewe ni shujaa, ushujaa ambao sasa huna, unaogopa hata kutua Dar. Ifike wakati uwe unajiuliza makosa yako ni nini, badala ya kuamini umezaliwa kushinda na kufanya mema tu! Kama ni posho za mwisho wa ubunge, omba upewe maana sidhani kama bado unataka ubunge wakati hutimizi majukumu yako.
 
Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,

Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hitler alipozidiwa na hatimae majeshi yake kushindwa, wa aina yako walikimbilia porini hasa kwenye misitu ya Amazon. Wapo waliojaribu kumkana, wengine kujificha mijini kwa kubadili sura na utambulisho walikamatwa na wengine kujiua kwa kukosa amani. Shetani hakuweza kumlinda mdhalimu mkuu wala kuwalinda vibaraka wake. Amen
 
Tupo na ww TL...Mungu akaonekane kwa hili suala jamani!
Huwezi mlinganisha yesu na mambo ya hovyo, yesu alimtumikia mungu mwanzo mwisho, uliona anahangaika na mambo yenu ya kishilikina? Yesu hakutoa taarifa za mungu kwa shetani, ila huyo wenu anatafuta siri za serikari apeleke kwa kaizari.
 
Meko atapasuka kichwa mwaka huu. Yaani ameanza kuandamwa mapeeeema.

Hii ni Januari, hadi ifike Oktoba atakuwa amesahau hata kufanya kampeni za uchaguzi mkuu.

Mabeberu endeleeni kumkaba koo ili nasi tupate kupumua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti IPU

Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?
IMEBAKIA MIEZI MICHACHE TUU BUNGE FAKE LIVUNJWE. SO MH. TUNDU LISSU HAITAJI HUO UBUNGE TENA. BUT IPU ITAM SIMAMIA APATE HAKI ZAKE ZA KIBUNGE KAMA ANAVYO STAHILO. UPO HAPO? MA CCM AKILI ZENU ZIPO TUMBONI BADALA YA KUWA KWA UBONGO
 
Back
Top Bottom