Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Hapa kwel nina iman sheria lazma itakua transtrated juu ya hilo swala na kupata suluhu stahik juu ya Mh Lissu nakumfanya awe safety 24hrs.
 
yaani lissu anacheza sana bado ana ndoto za kupata nini wakati hataki kuja kujibu waliomshambulia ni kinanani wakati anasema anawajuwa hao anaowategemea sijui wamsindikize anajisumbua tu hii ni nchi huru haiingiliwi na mtu kufanya mambo yake aendelee na mabeberu wenzie huko wampe kazi ya kufanya tunamambo mengi na magufuli wetu huyo panya hatusumbui hata kidogo
 
Angekufa mattercal yakonyangemjibia?
 

Usalama wake ni muhimu kuliko hiyo kazi.
 
Eti IPU

Ok haya,kwaiyo IPU watakurudishia Ubunge?
Usiliangalie suala hili kwa akili ya bata maji bali kama una akili nzuri basi fanya ku-refresh. Kama unadhani nia ni kurudishiwa ubunge basi uwezo wako wa kufikiri ni kiwango cha kisoda.

Tundu Lissu anagombea utawala wa sheria nchini , demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa kujieleza na kukomesha mauaji, utekaji na matumizi bora ya mali yaumma. Vitu vyote hivi vimesiginwa na Dikteta Magufuri. Tundu Lissu hatetei nafsi yake, anakutetea hata wewe mtoa post hii misasa . Leo inawezekana wewe ni kama Makonda yaani unafaidi utwala wa huyu Magufuri, Lakini Magufuri akitoka anaweza kuja Rais mwingine akafanya mambo mabaya kuliko haya na wewe ukawa mhanga.

Kwa hiyo kinachotafutwa ni utawala wa Sheria ambao mihimili 3 inafanya kazi kwa kujitegemea bila kuogopa mhimili mwingine, kama ilivyotokea huko Malawi jana.
 
These are words from the uncivilised mammals!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walipiga risasi mguuni wakasahau kichwani sasa kichwa Kimoja Cha Lissu ni sawa na zaidi ya Cabineti zima ya JPM
 
Mpendwa umeonesha MIHEMKO ya hali ya juu lakini pia UNACHEKESHA, labda umejisahaulisha ama kujitoa ufahamu, wajifanya hujui kuwa Yanayo lalamikiwa hapa kwetu wameyapuuzia kwa sababu ya itikadi zao za uCCM?, Nchi yetu imekuwa bingwa wa kuvunja misingi ya haki za binadamu na Utu wa watu?,
Pia lengo la Ichi yetu ilikubali kujiunga na Taasisi hiyo ili Watakao fanyiwa udhalimu kutumia njia hiyo pale Nchi mwanachama itakapo kiuka taratibu na kubaka muhimili wa Sheria, na taarifa ya Jemedari T.A.L imeonesha Nchi nyingine zenye matendo ya udhalimu na ufedhuli kwa Raia wake,Nao pia wamepeleka mashitaka na yanachunguzwa na kufanyiwa Kazi kama ya LISSU.
HITIMISHO:-
Kutokana na kutosikilizwa na kufanyiwa Ufedhuli wa Wazi na Watawala tena kwa mbwembwe na kebehi za hali ya juu huku mkicheza na kuserebuka iyenaiyena T.A.L Anakila sababu ya kwenda kushtaki huko kwa MNAOPENDA PESA ZAO ILA WAO HAMUWAPENDI. simamia haki ikuweke HURU.
 
Achana na huyo Lofa anataka kujilinganisha na utawala wake huu wa manyani na tawala za wazungu??
 
umeona eee yaani just imagine Mtu anasema simple tu tumuachie Mungu,,,,na ndiyo maana hata tuhuma alizopewa BASHITE tunaziona za kawaida yaani mtu anatuhumiwa kwa kudhulumu haki ya watu ya kuishi haki ya kuishi...leo Bashite na wapambe wake wanatanua barabarani na maofisini huku kuna watu wapo jela na hawana hatia.
Sisi wabongo bana mambo ya haki tena hizi haki za kikatiba tunaona ni hisani...
 
hakuna chochote watakachomsaidia anapoteza muda tu bora aendelee na dili yake ya ushoga aliyopata huko labda itamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…