Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Wewe hutaishi milele vyovyote vile hata wewe kuna siku utanyamza na hutaweza kudhihaki chochote
Akili zao ni kama vile tutaishi milele ama kuna mtu anaweza kuzuia asife. Wengine kufa tumeshaacha kitambo sana kukufikiria kutakavyokuja ndivyo itakavyokuwa.
 
Greataziz,
Mark my words Tundu Lisu anapoteza muda tu na mbaya zaidi yuko kwenye mikono ya waovu anaowaaminisha uongo ninakuhakikishia kuwa Tundu Lisu anapotoshwa sana sema amezungukwa na wanafiki wanaomdanganya time will tell. Tatizo yeye hawezi ishi maisha bila ya kutegemea wengine yaaani the man is poor hana chochote cha kuweza kuishi Ulaya hata mwezi mmoja bila kifanya kazi
 


Kiuhalisia najuasasa hivi hali ni mbaya sana hata kama hawasemi lakini hali ni mbaya mno hata huyo BASHITE Zero brain haonyeshi ila halali

Na sijui kwanini rais hakutaka kumsikiliza Gwajima alisema kabisa Huyu Bashite atajafanya jambo la kuichafua Tanzania ila hawakumwelewa
 


Huyo unaemsemea ni Tundu Lissu wako mwenyewe huyu wa ukweli yeye hategemi akili za kushikizwa na gundi kama Meko Bashite na Lemutuz wanavyojidanganya yeye anatumia brain yake na iko vema sana na hata akisaidiana na mwingine huwa kwa asilimia kidogo sana yeye sio MEKO wala BASHTE yeye ana akili timama na sio za pacemaker wala za Zero brain
 
Andika lugha ya taifa wewe duanzi! Meko babako pacemaker imekataa kazi. Bashite nduguyo anahara hovyo! wote kwishney. Tulieni mmuupate ukuni taratibu!!
Aliyeleta uzi huu aliuleta kwa Kiswahili?
 
Huwezi mlinganisha yesu na mambo ya hovyo, yesu alimtumikia mungu mwanzo mwisho, uliona anahangaika na mambo yenu ya kishilikina? Yesu hakutoa taarifa za mungu kwa shetani, ila huyo wenu anatafuta siri za serikari apeleke kwa kaizari.


Mtu mwenyewe hata kuandika vizuri huwezi.."mungu" ndo uchafu gani..gerahia
 
Malipo ni hapa hapa Duniani, kitendo cha serikali ya magufuli kilichokifanya cha kutaka kutoa uhai wa TL kitalipwa hapa hapa Duniani
 
Kuna kicheko fulani cha ndugaye huwa anakitoa anapoona kitu kama hiki.
Tundu anahitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
 
Hombo Dikwela Munyu (Mlenda Umekolea Chumvi)
 
masluphill,
Kwa hiyo unashauri kujipendekeza kwa Waharibifu ili wakusaidie nini. Wale wenyewe wamekataana au unataka laana ya kukataana
 
It seems you are one of the unknowns

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Siyo kweli kwamba Tundu Lissu anadanganywa na kazungukwa na Wanafiki, bali yeye mwenyewe Tundu Lissu ndo Muongo na Mnafiki mkubwa, yeye ndo anadanganya waliomzunguka, na yote yaliyomtokea alistahili na hakuonewa popote, huo ni mshahara wa aina ya maisha aliyoyachagua yeye mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…