Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishindwaje. Au Jaji ndiye aliyesema kwamba anashindwa kutoa maamuzi ya kesi!!??Kwani wewe huruma yako labda na ya familia yako kwake haitoshi? Isitoshe alienda Mahakamani kudai haki yake akashindwa kesi, sasa unataka sisi tufanye nini?
Akili zao ni kama vile tutaishi milele ama kuna mtu anaweza kuzuia asife. Wengine kufa tumeshaacha kitambo sana kukufikiria kutakavyokuja ndivyo itakavyokuwa.Wewe hutaishi milele vyovyote vile hata wewe kuna siku utanyamza na hutaweza kudhihaki chochote
umeona eee yaani just imagine Mtu anasema simple tu tumuachie Mungu,,,,na ndiyo maana hata tuhuma alizopewa BASHITE tunaziona za kawaida yaani mtu anatuhumiwa kwa kudhulumu haki ya watu ya kuishi haki ya kuishi...leo Bashite na wapambe wake wanatanua barabarani na maofisini huku kuna watu wapo jela na hawana hatia.
Sisi wabongo bana mambo ya haki tena hizi haki za kikatiba tunaona ni hisani...
What a comment!. You seem to catch feelings in a healthy discussion terrible.
Kimyaaaaa tuliiiiiiiUmeona eee kimya maana hawana washike kipi nimecheka kwa sauti ya juu kabisa ukiona hivyo jua hali ni mbaya mno hakuna cha birthday wa kuzaliwa ha ha ha ha ha
Mark my words Tundu Lisu anapoteza muda tu na mbaya zaidi yuko kwenye mikono ya waovu anaowaaminisha uongo ninakuhakikishia kuwa Tundu Lisu anapotoshwa sana sema amezungukwa na wanafiki wanaomdanganya time will tell. Tatizo yeye hawezi ishi maisha bila ya kutegemea wengine yaaani the man is poor hana chochote cha kuweza kuishi Ulaya hata mwezi mmoja bila kifanya kazi
Aliyeleta uzi huu aliuleta kwa Kiswahili?Andika lugha ya taifa wewe duanzi! Meko babako pacemaker imekataa kazi. Bashite nduguyo anahara hovyo! wote kwishney. Tulieni mmuupate ukuni taratibu!!
Huwezi mlinganisha yesu na mambo ya hovyo, yesu alimtumikia mungu mwanzo mwisho, uliona anahangaika na mambo yenu ya kishilikina? Yesu hakutoa taarifa za mungu kwa shetani, ila huyo wenu anatafuta siri za serikari apeleke kwa kaizari.
It seems you are one of the unknownsDid anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of political brinkmanship using words like 'Oh! I know who blah blah{....}should stop.
Mark my words Tundu Lisu anapoteza muda tu na mbaya zaidi yuko kwenye mikono ya waovu anaowaaminisha uongo ninakuhakikishia kuwa Tundu Lisu anapotoshwa sana sema amezungukwa na wanafiki wanaomdanganya time will tell. Tatizo yeye hawezi ishi maisha bila ya kutegemea wengine yaaani the man is poor hana chochote cha kuweza kuishi Ulaya hata mwezi mmoja bila kifanya kazi
Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app