mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Vipi unataka kuwa hawara wangu?Wanasema kufa na tie shingoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi unataka kuwa hawara wangu?Wanasema kufa na tie shingoni
Ndiyo mawazo ya ma CCM yanapoishia kwenye ngonoVipi unataka kuwa hawara wangu?
Kuna wanazuoni ambao hawakuwahi kuwa wanafiki na huishi na misimamo yao daima...mmoja wao ni Dr Xavier Lwaitama...namheshimu sana mwanazuoni huyu!
Then give us your OWN version of the storyHopeless argument!
Nimeona jamaa hao wanasema kupona kwa Lissu jaribio lile la kuingiwa na risasi 16, ni MUUJIZA BAYANA! Tukio baya sana lile!
Jiwe atubu mbele za watanzania na dunia....
Sent using Jamii Forums mobile app
'Pressure points' zinaongezeka.
Huku ndani nako ni wakati wa kuanza kushindilia sasa polepole, huku joto likiongezeka kadri Oktoba inavyosogea.
Tundu Lissu aliyeko nje kwa sasa hivi ni wa manufaa zaidi ya Tundu Lissu ambaye angekuwa nyumbani kwa wakati huu.
Haya yalionekana tokea zamani.
Maana huo huo pia uliandikwa kwa Kiingereza. Je ulitaka mimi niujibu kwa lugha ya KIRENO ?
Wala hamna atakaye mzulu. Aje tu tutamkaribisha.Tuliza mzuka .... tunataka kumpokea paleee anapofika. Vifaru vyenu msituelekezee
MI nimeamini kuna ujinga mwingine ni wa kulogwa,bunge la Tanzania ni mwanachama wa IPU na IPU ni shirikisho linalotambuliwa na UN.Lissu anatafuta sababu ya kurudi Tz, alisema harudi Tz hadi ahakikishiwe usalama wake, je saivi IPU ndio imemuhakikishia usalama wake? IPI ina mamlaka gani Tz ? Hakuna mtu anayeweza mrudishie ubunge tena, aje apambane upya Oct 2020 tu .
Utasimama nae Na ICCWatanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
CRIMINALS. Go it?None is interested in harming him well n good can you tell us who was interested when he survived 16 bullets?
Wala hamna atakaye mzulu. Aje tu tutamkaribisha.